Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Slaa kama angehudhuria sherehe hiyo fake imani yangu kwake ingeingia mashaka. Wezi wanajitangazia walichokuibia wewe unakuja kuwapigia makofi? huo ni wehu, CCM wamehamanika sana kwa Dokta kudharau mwaliko wa NEC
 
JK ndo rais wetu tushirikiane kujenga TZ please JK usiwakumbatie sana mafisadi wanaimaliza nchi! usisafili sana hata kama ndo hobie yako tutatue matatizo ya TZ kwa nguvu zetu wenyewe!

Real Tanzanians will never work with people who voted for CCM.
 

Mkuu believe me on not wapiga kura waliojiandikisha kihalali hawazidi 12,000,000. Hiyo 20,000,000+ ilikuwa ni mpango wa kupandikiza kura za uwongo kwa JK na kwa kuwa walikwama baada ya kupewa kibano basi ni dhahiri kuwa Tume hii imefikia kikomo cha kuwa na legitimacy ya kuandaa uchaguzi Tanzania. Hilo linatakiwa kuwa agenda namba moja ya CHADEMA kuelekea 2015.
 
mnaweza kusema nimevamia jamii bt kusoma post zilizopo na baadhi ya mawazo ya watu kumenifanya niregister ili niweze kuweka yangu out.
Jamani, i was there in 2000 during the election n nilipiga kura. sikuwepo 2005 na sikufuatilia, sipo sasa ila nafuatilia. KINACHONIUMA NI:

For uchaguzi wa nne na kwa nchi kama tz sikutegemea KURA ZILIZOHARIBIKA KUWA MGOMBEA NA MSHINDI WA WANNE. je hatujui kupiga kura?? je elimu iliyotolewa kwenye tv (nadhani na redio) tumeshindwa kuiapply wakati wa kuvote??

doubt kama ni kweli hizi kura ziliharibika au ni... tuelimishe watu kupiga kura ili 2015 tuwe na 100 messed up votes. ni upuzi kuwa na kura zaidi ya laki 2 zilizoharibika.

Bado na nitaendelea kuunga mkono kwamba miaka yote upinzani hupata zaidi ya % tunayoambiwa. kuna haja ya kuja na electronic system itakayo ruhusu watu kupiga kura na kucount without human interruption. via tht way upinzani na utawala utajua WHO CITIZENS REALLY WANT. if u r 4 ccm u wil so no to everything.
 
Wadau naona kama kuna consipiracy theory hivi.....Dr. wa ukweli (Slaa) alisema kwamba takimu zilikua zinaonyesha ameshina kwa 61.6% na JK katangazwa mshindi kwa 61.17%...we need to dig more something is fish somewhere
 

Anaweza kuwa Rais wangu kwa mamlaka yake na si mapenzi yangu......ndio maana anaimarishiwa ulinzi kipindi hiki....kwa kuwa wenye mapenzi naye wamepungua sana.....hatoweza kusogelea umma...utamhukumu
 
jamani mwenye clip ya video please tunaomba
 
Hapa kila mwana mageuzi wa kweli anatakiwa ahakikishe kuwa 2015 akienda kupiga kura yake basi awe amepeleka na at least watu 10 amboa walikwishakata tamaa ya kupiga kura (yaani WAMESUSA). Mimi nimefanikiwa this time ku-convince marafiki zangu zaidi ya 20 na wakapiga kura and I hope wamepigia mgombea makini. KAZI KWETU .
 
si hivyo ila kwa sasa kila kitu tushilikiane bwana!

una roho nyepesi, yaani jana na leo we siye yule tena, anyway, mnataka kujenga taifa la aina gani?
 
halafu hawa nec ni waongo mwanzo walisema wapiga kura ni milioni 19 na laki sita

leo wanasema ni milion20 hii imekaaje?


halafu zaid ya nusu hawakuoiga kura
 
Iyo droppage kama wana maanalyst wazuri ni challenge

i wish wangeku nao,ila analyst wenyewe ni jk mwenyewe na kina nec so ni mwendo wakuchakachu na kupeana sifa pasipo na sifaa..yaani naomba waendelee ivi ivi by the time wanaamka watatuka sie tushafika far:israel:
 
yes, sitegemei kabisa kama atagoma sherehe za ufunguzi, nadhani Slaa atakwenda, mana kama ameziria atakuwa sawa na mtu mwenye akili za kuku na kike! thanks

Naona mambo yanakuzidi wewe jifurahishe na huyo rais aliyechakachuaa kura mshangilie ungana naye katika kusherekea ushindi amabo si wake yatawatoka puani:nono::nono::nono::nono:
 
weeeeee!!
elektoniki?
haiwezekani TZ,
upinzania utachukua nchi halafu watu watafungwa ghafla!
hapa ni vita vya kufa na kupona kuhakikisha watu hawatoki kwenye dola ni hatari sana wala sio starehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…