Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Wakati akibadilisha hiyo damu umeme ukatike halafu inakuwa ndo mwisho..............................
 
Hakuna haja ya ya DR slaa kwenda huko. Waendelee na utaratibu wao lakini ipo siku itafika itajulikana nani ni mshindi.
 
yes, sitegemei kabisa kama atagoma sherehe za ufunguzi, nadhani Slaa atakwenda, mana kama ameziria atakuwa sawa na mtu mwenye akili za kuku na kike! thanks

U foolish, u just join and bring usenge hapa, asshole, bullshit, kihiyo like the one ur supporting, vuvuzela, kaoge mchafu ww, kichwa chako kimeoza,
 
Iyo droppage kama wana maanalyst wazuri ni challenge
 
20137303 - registered
8629283 - voted
spoilt - 227889 - 2.64%
halali - 8398394 - 97.36 %

aptp - mziray - 96,933 - 1.12%
ccm - 5,276,827 - 61.17%
chadema - 2,271,941 - 26.34%
cuf - 695,667 8.06%
nccr- - rungwe - 26388 - 0.31%
tlp - 17482 - 0.20%
updp-dovutwa- 13176 - 0.15%

spinkssolo samahani sana ndugu yangu. data zako zina error ya kura 3000 nadhani instead of 8629283 inatakiwa iwe 8626283
 
JK ndo rais wetu tushirikiane kujenga TZ please JK usiwakumbatie sana mafisadi wanaimaliza nchi! usisafili sana hata kama ndo hobie yako tutatue matatizo ya TZ kwa nguvu zetu wenyewe!
 
No sorry, NEC yenyewe inafahamu kuwa hiyo idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni ghost voters. Ni inflated number zikiwa ni kura za ziada kwa ajili ya mkakati wa kuchakachua kura. Kama wangeshindwa kuchakachua kura za Slaa vituoni au wakati wa vote talling, tayari NEC ingepata kura zaidi kutokana na 'pool' ya kura za kuchakachulia kutokana na hiyo 57% yaani zaidi ya kura milioni 12 ghoost voters.

Kimsingi Kikwete umaarufu umeshuka .....toka ushindi wa asilimia Zaidi ya 80% mwaka 2005.....hadi asilimia 60%?? majigambo yako wapi...na kama si kuchakachua ...jk angeshinda lakini kwa asilimia 50 hadi 55%.......,na iwapo watu wote waliojiandikisha wangepiga kura ni wazi angeshindwa..lazima mjuwe wenye utamaduni wa kujiandikisha na kutunza kadi ni wana ccm...kwa kifupi waliowapa wapinzani asilimia 40% ni wana CCM na wananchi walioguswa!!

Lipumba ameonge jambo la muhimu ..NEC wana Ghost voters wengi sana.....nadhani mwaka 2005 ndio waliotumika kumpa ushindi wa kishindo....ni wazi kwa miaka inayokuja CCM wakitegemea kuchakachua watakuja kushindwa uchaguzi........

.....Ukitaka kujuwa kuwa watu wengi hawampendi kikwete .....[sema inaelekea wengi wao hawakupiga kura]..utashangaa ...pamoja na kutangazwa ..watu wa kaawaida hawashangiliii...zaidi ya makada waliopelekwa na magari pale karimjee....

Kingine nimenote ...sauti ya JK leo ilikuwa inaongea kwa kutetema.......[sijui nimesikia peke yangu?]....ni wazi anapigania afya yake!!
 
JK ndo rais wetu tushirikiane kujenga TZ please JK usiwakumbatie sana mafisadi wanaimaliza nchi! usisafili sana hata kama ndo hobie yako tutatue matatizo ya TZ kwa nguvu zetu wenyewe!

Siyo rais wangu!!!
 
I am having a very difficult time,wacha nitafute beer

We dont need to give up the fight Yet , Let us start now and we must back up our President Dr Slaaa! and i urge the CHADEMA mp's to deliver as this will pave the way in the future , our efforts will never be futile !
 
Kashinda kwa kishindo au,asilimia 90% ziko wapi angekuwa mwanafunzi ningesema amefeli kulinganisha na matokeo ya hapo nyuma kwa hiyo hafai,nilitegemea angekuwa mwanafunzi mwenye bidii angedumisha kiwango chake,kutoka asilimia 90 hadi asilimia 60 ?
 
hivi lupimba amemwelewa jk aloposema huwa wanajenga nyumba moja na hawatumii fito!!!
 
ukweli ni kuwa jk umaruufu umeshuka toka 80% mpka 61% hata kama ameshinda lazima ajiulize hizo asilimia zimekwenda wapi!
Nafikiri kwa mawazo yangu ni kuwa kashindwa kupambana na ufisadi thus why! Akumbuke panapofuka moshi...................!

hapo umenena
 
ukweli ni kuwa jk umaruufu umeshuka toka 80% mpka 61% hata kama ameshinda lazima ajiulize hizo asilimia zimekwenda wapi!
Nafikiri kwa mawazo yangu ni kuwa kashindwa kupambana na UFISADI thus why! AKUMBUKE PANAPOFUKA MOSHI...................!

Na hapo kuna kuchakachua. Nina hakika bila kuchakachua alishandondoka vibaya.
 
Mtani wangu Mwiba,

Ukicheka na Nyani, utavua mabua.

Ya bara tuachie wenyewe. Nyie lilieni Zanzibar yenu.

Mmeogopa kumpa kura SLAA ili avunje muungano. Kupe nyie mnafaidi tu vya BURE.

Hakuna wasaliti na watu wanaoipa NGUVU CCM na NEC kama CUF.

Ili kuvunja hii, kwanza ni kuvunja Muungano na CUF ibaki Zenji peke yake.

Hapo tubaki tunabanana wenyewe huku Tanganyika.

SAY NO TO MUUNGANO wa Kupe wa Zanzibar na Wadanganyika.

KAKA, njoo unikatike keki (dada wa miaka 28 eti hana nguvu).

Baelezee Ngosha!
 
Anamshukuru Prof. Lipumba kwa maoni na kumpa ilani ya CUF na kuwa Ilani zote zitazingatiwa.

Tunajenga nyumba moja hatugombei fito. Anasema.
Tatizo ni wengine hawazitumii fito hizo kwa madhuminu halisi ie kujenga....Hapo ndipo dhana ya kuzigombea fito hizo inapo make sense....Kugombea fito kuna faida kama matumizi ya fito hizo kutoka kwa baadhi ya "wajenzi" ni ya tofauti na ujenzi wa nyumba hiyo.
 
Back
Top Bottom