Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Elections 2010 LIVE ON TV: Kikwete ashinda kuwa rais kwa 61.17%

Huko kushinda kwa kishindo kwa asilimia 61.17 ni sawa na only 12% ukichukulia nchi ya watu millioni 42
 
Anaahidi kuwa hatawaangusha.

CCM hongera.

Watanzania wote tumeshinda na hakuna aliyeshindwa.
 
Slaa kwenda apo manake ata Mahakamani asiende bse atakuwa anasupport matokeo.
Ni uamuzi wa busara kutokwenda
Kuna Makala Moja ya utabiri wa Adam Lusekelo kuhusu uchaguzi huu ambayo nimeikumbuka na kuitafuta ili tusibaki kulalama na kulaani tu bali tupate mafunzo kutokana na uchaguzi huu. Kwenda mahakamani haitasaidia kitu maana Kikwete katika kipindi chake cha kwanza ameteua mahakimu wengi mno ambao hata ufanyeje hawawezi kumtupa mfadhili wao. Lililobaki ni kujipanga upya na kuitumia People's Power bila woga. Kama ni wachache kufa ili wengi wapate ukombozi na iwe hivyo. Lusekelo aliandika makala hii tarehe 13 Oktoba 2009.

What the opposition should fight

10_09_bgn5ws.jpg

ADAM LUSEKELO,
13th October 2009


I WATCH the opposition forces in Tanzania with great pity. They are presently busy flailing away at the constant political jabs from the ruling state-party, CCM, and are slowly getting punch-drunk. They are waiting for next year’s general elections and think that miracles will happen then. Mawe!

For example, CCM’s Secretary General, Joe Makamba, has just taunted Tanzanians that he sees no substantial threats from opposition parties in the forthcoming civic elections. If that happens, then naturally, CCM will win the parliamentary and presidential elections, he says.
Joe has a point.

I would also say that, if I had the backing of the state juggernaut supporting me. He has also started using the magic word, kishindo (landslide) again after what happened in 2005.

But everyone knows that those landslides are not natural or home grown. You don’t need the dreaded El Nino rains to get such political landslides. In our countries, they usually occur with a lot of help from human beings. The landslides in most African elections are man-made.

What the opposition should do is monitor those landslides and remove the causes. Some think that the pressure to the rulers is not enough. CUF recently had a rally to demand for an independent electoral commission. That should be louder.

There are also demands for independent candidates to contest the next elections. But that is being denied by the government. Our rulers are insisting on taking part in a football match and being the ref at the same time. Just take out your dictionary and check-out the word ‘dictate’ and you get a rough idea of those landslides.

But the opposition is partly to blame. Going for elections next year is simply playing the game and endorsing those who love the word ‘dictate’. You tie one hand of your opponent and invite him for a fair fight. That cannot be so. It’s just no contest.

The opposition is also misreading the political terrain of Bongo. They should know that like any people in this world, Tanzanians want change. First, most of the people of Bongo want change. This is simply because the ruling party has nothing new to say. But then, what is the alternative?

I hastily add that the opposition also has nothing new to say. Maybe Chadema has been making some right and credible noises to its listeners. Few of us even understand what the other parties stand for. Unity of the opposition remains as elusive as ever.

This leaves the CCM rubbing their hands in glee. They can throw all those damaging blows at will to the opposition. When it comes to CUF, the CCM throws a constant stream of punches that CUF is a religious-based (Islamic) party. This causes other political forces to recoil in horror.

When it comes to Chadema, the propaganda machine drops heavy hints that it is a tribal party. TPL is branded as Gus Mrema’s personal party. Few of us really know what NCCR is all about. This is plain to see that without unity the rulers for life of the opposition parties will only dream of the political power in Tanzania.

Change should also apply to the opposition. As it is now, it looks like the leadership of the opposition parties not only run, but also owns those parties. This running of political fiefdoms and calling them political parties for more than a decade simply won’t wash.

alusekelo@yahoo.com
adamlusekelo.blogspot.com
 
Total valid -8398394
Appt-96933
ccm-5,276,827
chadema-2271941
cuf-695667
nccr-26388
Tlp-17482
dovutwa-13176
makame katangaza hivyo.ila nikifanya majumuisho ya kila mgombea hapo juu kunakuwa na utofauti na ile total number ya valid voters.CHUNGUZA.

Tofauti vichwa 20

Another inconsistency from NEC
 
maana yake ni kwamba hawatumii ilani ya chama kingine

kamponda lipumba kiaina
 
Kwa mahesabu ya haraka haraka waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya waliokuwa wameandikishwa.
Nadhani nec wana hoja ya kujibu hapa, kwanini idadi ya waliopiga kura imekuwa ndogo kiasi hicho? je hii hai ya rais ambaye ni kiongozi mkuu wa nchi kuchaguliwa na idadi ndogo ya watu anaowaogoza inaashiria nini?wasikurupuke tu kutoa majibu mepesi, wajipange wafanye utafiti hata kama wataitumia redet au synovate.

waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya walijiandikisha
waliojitokeza kupiga kura ni 21% ya watanzania wote (assume ppulation yetu ni 40m)

No sorry, NEC yenyewe inafahamu kuwa hiyo idadi ya wapiga kura waliojiandikisha ni ghost voters. Ni inflated number zikiwa ni kura za ziada kwa ajili ya mkakati wa kuchakachua kura. Kama wangeshindwa kuchakachua kura za Slaa vituoni au wakati wa vote talling, tayari NEC ingepata kura zaidi kutokana na 'pool' ya kura za kuchakachulia kutokana na hiyo 57% yaani zaidi ya kura milioni 12 ghoost voters.
 
Slaa willibrod peter/chadema - 2,271,942 26.34% kwe! kwe! kweeeeee!
 
KAZIKWISHAAAAAAAAAAAAAAAA........... KIKWETE RAIS .haya tuache marumbano Tujenge Taifa
 
Hongera Lipumba umeweza kuukabili umma na kuonyesha maovu ya tume hadharani ,sijui kwa nini Slaa ameingia mitini ?Hajuiu kama kuna kushinda na kuibiwa ?
 
Hapo kichwani anafikiria kwenda kubadilisha upepo,d..mu na kubembea just after kuapishwa. God forbid!
 
yes, sitegemei kabisa kama atagoma sherehe za ufunguzi, nadhani Slaa atakwenda, mana kama ameziria atakuwa sawa na mtu mwenye akili za kuku na kike! thanks
 
NEC admits mixing up election results (The Citzen page 3 dated 5th November 2010).

Dr. Slaa ana haki ya kutoudhuria upuuzi huo. Hiyo asilimia 61 aliyoipata kikwete kwa kupewa kura 30960 badala ya 17789 na Dr.Slaa kupewa 3789 badala ya 22036 kwenye jimbo moja tu na wakatangaza matokeo bila kurekebisha hizo dosari inaonyesha ni jinsi gani matokeo yaliyotangazwa yasivyo yale ya wapiga kura!
Utatangazaje matokeo wakati unakiri dosari kubwa kama hizo na mtu makini akubali matokeo na kushangila kama zuzu!
Mr. Karavu haukuwa makini na dhambi hii itakutafuna mpaka mwisho wa maisha yako kama umezeeka hivyo ungewaachia vijana hiyo kazi


Sasa kama nyie mna matokeo ya urais basi yawekeni hapa JF angalau mjfariji, pia ikiwezekana mtangaze kuwa hayo ni matokeo ya uchaguzi wa JF na hivyo awe rais wenu.

Mnalalamika lalamika.... hajatokea kwenye kutangazwa mshindi wa kura kwa sababu anona aibu. Alijitamba sana kuwa atakuwa rais na sasa ameukosa...

Mambo mengine aiseeee, halafu ukisusa wenzio wanakula na maisha yanasonga mbele tu. Mwache akafie mbali na kinyongo chake... Shwainiiiii
 
Aliye safi hawezi kukaa pamoja na aliyemchafu yaani yupo sawa kabisa kwa 100%
 
Back
Top Bottom