Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona sauti ya kikwete kama vile anaenda kuanguka?
Kuna Makala Moja ya utabiri wa Adam Lusekelo kuhusu uchaguzi huu ambayo nimeikumbuka na kuitafuta ili tusibaki kulalama na kulaani tu bali tupate mafunzo kutokana na uchaguzi huu. Kwenda mahakamani haitasaidia kitu maana Kikwete katika kipindi chake cha kwanza ameteua mahakimu wengi mno ambao hata ufanyeje hawawezi kumtupa mfadhili wao. Lililobaki ni kujipanga upya na kuitumia People's Power bila woga. Kama ni wachache kufa ili wengi wapate ukombozi na iwe hivyo. Lusekelo aliandika makala hii tarehe 13 Oktoba 2009.Slaa kwenda apo manake ata Mahakamani asiende bse atakuwa anasupport matokeo.
Ni uamuzi wa busara kutokwenda
Total valid -8398394
Appt-96933
ccm-5,276,827
chadema-2271941
cuf-695667
nccr-26388
Tlp-17482
dovutwa-13176
makame katangaza hivyo.ila nikifanya majumuisho ya kila mgombea hapo juu kunakuwa na utofauti na ile total number ya valid voters.CHUNGUZA.
Kwa mahesabu ya haraka haraka waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya waliokuwa wameandikishwa.
Nadhani nec wana hoja ya kujibu hapa, kwanini idadi ya waliopiga kura imekuwa ndogo kiasi hicho? je hii hai ya rais ambaye ni kiongozi mkuu wa nchi kuchaguliwa na idadi ndogo ya watu anaowaogoza inaashiria nini?wasikurupuke tu kutoa majibu mepesi, wajipange wafanye utafiti hata kama wataitumia redet au synovate.
waliojitokeza kupiga kura ni 43% ya walijiandikisha
waliojitokeza kupiga kura ni 21% ya watanzania wote (assume ppulation yetu ni 40m)
Anaahidi kuwa hatawaangusha.
CCM hongera.
Watanzania wote tumeshinda na hakuna aliyeshindwa.
NEC admits mixing up election results (The Citzen page 3 dated 5th November 2010).
Dr. Slaa ana haki ya kutoudhuria upuuzi huo. Hiyo asilimia 61 aliyoipata kikwete kwa kupewa kura 30960 badala ya 17789 na Dr.Slaa kupewa 3789 badala ya 22036 kwenye jimbo moja tu na wakatangaza matokeo bila kurekebisha hizo dosari inaonyesha ni jinsi gani matokeo yaliyotangazwa yasivyo yale ya wapiga kura!
Utatangazaje matokeo wakati unakiri dosari kubwa kama hizo na mtu makini akubali matokeo na kushangila kama zuzu!
Mr. Karavu haukuwa makini na dhambi hii itakutafuna mpaka mwisho wa maisha yako kama umezeeka hivyo ungewaachia vijana hiyo kazi
Tofauti vichwa 20
Another inconsistency from NEC