Pamoja na uchakachuaji wameambulia 61% duh kweli walizidiwa..
Kipenzi cha wengi, Dr Slaa hajatokea kwenye tafrija ya kutangaza matokeo ya urais.
Ridhiwani ni mgombea wa chama gani?maana wapo wa CCM(Jk),CUF(Lipumba)
Kikwete- "tunajenga nyumba moja, hatugombei fimbo" akiongelea CCM na upinzani
Kikwete- "tunajenga nyumba moja, hatugombei fimbo" akiongelea CCM na upinzani
Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.
Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:
==================
UPDATES:
WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303
Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%
Kura zilizoharibika = 2.64%
Mgawanyo wa kura ni hivi:
APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17482 = 0.20%
UPDP: 13,176 = 0.15%
Raisi kachaguliwa na 26% ya watu waliojiandikisha kupiga kura (20million) ni aibu sana! 'waliozuiwa' ni wengi mno..Tayari Wagombea wote akiwepo JK wameshawasili.
Dr. Wibroad Slaa bado hajawasili:
==================
UPDATES:
WALIOJIANDIKISHA: 20,137,303
Waliopiga kura 8,626,283 = 42.84%
Kura zilizoharibika = 2.64%
Mgawanyo wa kura ni hivi:
APPT: 96,933 = 1.12%
CCM: 5,276,827 = 61.17%
CHADEMA: 2,271,941 = 26.34%
CUF: 695,667 = 8.06%
NCCR: 26,388 = 0.31%
TLP: 17482 = 0.20%
UPDP: 13,176 = 0.15%