Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Hivi wewe ni Boxer...unateua majaji...ukumbi...washabiki...siku ya ndondi zenyewe....halafu unashinda raundi ya 7(61%) dhidi ya mpinzani wako unasherehekea kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuko pamoja mkuuI am having a very difficult time,wacha nitafute beer
Kuna haja ya kuja na electronic system itakayo ruhusu watu kupiga kura na kucount without human interruption.
una roho nyepesi, yaani jana na leo we siye yule tena, anyway, mnataka kujenga taifa la aina gani?
Hivi wewe ni Boxer...unateua majaji...ukumbi...washabiki...siku ya ndondi zenyewe....halafu unashinda raundi ya 7(61%) dhidi ya mpinzani wako unasherehekea kweli?
CCM is like Mike Tyson.
And we all know what happened to Mike Tyson.
I agree with you. Hata mimi si wa kwangu. Ni rais wa NEC, si wa wananchi. Pamoja na kuchakachua unachaguliwa na asilimia 12% ya watanzania? Hii ni hatari kwelikweli? Lazima ajirekebishe kuwarudisha watu kwenye line.I repeat HUYU SIO RAIS WANGU
Wako na nani, awepo asiwepo kwangu ni sawa tu.huyu ndiyo rais wetu
ukweli ni kuwa jk umaruufu umeshuka toka 80% mpka 61% hata kama ameshinda lazima ajiulize hizo asilimia zimekwenda wapi!
Nafikiri kwa mawazo yangu ni kuwa kashindwa kupambana na UFISADI thus why! AKUMBUKE PANAPOFUKA MOSHI...................!
we si ulisema slaa atashinda ww! Kenge ww