Sikudai pesa mimi, kwanza huwa sina nguvu ya kudai warembo, ila umenilaza mlango wazi siku mbili mfurulizo inaniuma sana, hapa kichwa ni kizito nahisi Nina malaria kwa kuliwa na mbu.
Hahaaa,ndo ukome
Twende lunch basi muda huu.
mambo yangu we huyawezi usije ukaumbuka bure mbele za watu na vijisenti vyako
Utashangaa siku hiyo badala ya Kuwa mwenyeji utakuwa mgeni.
aku mi staki
Kuna bint mmoja nilimsaidia issue moja eti shukrani yake ananitoa out for dinner halafu nichague mwenyewe sehemu, nikampeleka sehemu, kumbe budget yake ni ya American chips, bill imekuja sorry nyiingi nikalipa, naomba unitoe out basi.
my darling love..
my darling love..
Sema baba sabuni ya roho yangu
Wivu sina ila roho inaniuma
Acha manjonjo basi mtu ulieniletea umeondoka nae moja kwa moja
mwallu tena hapa panakufaa wewe zaidi eti...hakuna haja ya kuufunga sana moyo wako for nothing..huu usister ni mbinguni tu
hahaha....Kwel humu wote mashemej...
Acha manjonjo basi mtu ulieniletea umeondoka nae moja kwa moja
Kaona we machepere
Umerudi? Karibu tena nilikuwa nakutafuta.
Haya umenipata
Pole sana! Unaendeleaje hali yako? Nilikuwa na meeting jioni imenibidi nirudi home kwa majozi na mshtuko.