Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Kumbe ndo unaniteta hivi huku ama kweli kikulacho kinguoni mwako,wewe si rafiki mwema tena,na hafugiki mtu
 
Hao wasikuchanganye beba mtoto weka ndani wanawake wenyewe hawaeleweki moja haikai mbili haikai huyo anakuzingua oa tu utulie na mkeo

Na kwenye harusi tunawaalika kama kawaida.
 
Jamani natangaza nia nampenda Eiyer..kama ana mtu wake ajitokeze....or else nianze kampen za kuwania jimbo.
 
Nimeipenda hiyo! Utakuja kwenye harusi yangu dear?!.

Kufanya nini? Sasa unaniringishia ama?
Ningekutaka ningeshakuchukua now usingefurukuta, ukiona hivyo kuna mtu namuwinda mahesabu hayajakaa sawa.
 
Kufanya nini? Sasa unaniringishia ama?
Ningekutaka ningeshakuchukua now usingefurukuta, ukiona hivyo kuna mtu namuwinda mahesabu hayajakaa sawa.

Wala sikiringishii! Mimi nipo ila honeymooning nitazima simu! Ila nikitoka mambo yetu kama kawaida nitafute tu, si unajua ulichokifanya.
 
Jamani natangaza nia nampenda Eiyer..kama ana mtu wake ajitokeze....or else nianze kampen za kuwania jimbo.

Huyo ni baba Paroko, nakushauri utupe karata zako kwa Daudi1 atakupa mapenzi ya uhakika.
 
Last edited by a moderator:
Wala sikiringishii! Mimi nipo ila honeymooning nitazima simu! Ila nikitoka mambo yetu kama kawaida nitafute tu, si unajua ulichokifanya.

Siwezi kukutafuta wewe bhana, mimi nina mahesabu yangu huko. Huyo mtu nataka ashushwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…