uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Mmh,sijui ndo nshaanza kusalitiwa mie! Maana moyo wangu unadundadunda kama tenesi
unasalitiwa na nani mke wangu kipenzi?
Nimekumiss mpaka Naugua yani...
niambie habari ya siku za nyuma kidogo?
Nakupenda Valee