Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

unasalitiwa na nani mke wangu kipenzi?
Nimekumiss mpaka Naugua yani...
niambie habari ya siku za nyuma kidogo?
Nakupenda Valee

Ooohh! Nilivokumis mpaka nashindwa kuongea mdomo unatetemeka mupenzi. Ebu otea nimekumis kama nini
 
tatizo mkuu umekomalia kutongoza sehemu ngumu afu hushushi vocal nyundo kama zangu, nilizomshushiaga my Valentina. Hadi akakubali mziki wangu.
Spika 30.
vocal nyundo bila hata amplifier

Itabidi umpe tuition mwenzio
 
Vipi wamekuvuruga ee

Hakuna anayeweza nivuruga dear. Basi tu kuna mtu hapo kuingilia kitu asichokijua. Wanaita kiherehere na kudandia treni kwa mbele. Nahisi yeye ndio mwenye pepo. Kama kitu mtu hukielewi bora upite si kila kitu lazima ucomment aaah
 
Toka alivyoenda kumzika Mzee Madiba;
hata leo hii bado hajarudi,
eti ni mpaka wazaliwe watoto mapacha
kwenye familia ya yule mzee ndo waanue matanga; chama hivi kweli umeamua kunitosa hivi hivi :usa:

Sijui kajificha wapi, ba mkwe@chama njoo mama akuita watamtongoza we haya
 
Last edited by a moderator:
Hakuna anayeweza nivuruga dear. Basi tu kuna mtu hapo kuingilia kitu asichokijua. Wanaita kiherehere na kudandia treni kwa mbele. Nahisi yeye ndio mwenye pepo. Kama kitu mtu hukielewi bora upite si kila kitu lazima ucomment aaah

hilo nalo neno keshakusoma nadhani
 
Toka alivyoenda kumzika Mzee Madiba;
hata leo hii bado hajarudi,
eti ni mpaka wazaliwe watoto mapacha
kwenye familia ya yule mzee ndo waanue matanga; chama hivi kweli umeamua kunitosa hivi hivi :usa:

huyo kapata msouth si bure ngoja kiwatengu aje labda huwa wanawasiliana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom