Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bibi yako kiruka way...
vipi lakini utafiti mzima?
Sijajua jamani bibi yangu.Wish you all the best
Amani ipo kaka..
nipo, escrow ilituficha kidogo..
Jamani usimsemee hivyo bibi yangu.
Nahisi ni mzima sijamuona siku za hivi karibuni
bibi yako kiruka way...
vipi lakini utafiti mzima?
siku hizi huombi lift?
Asante mjukuu wangu tupo pamoja
Haya bibi hata hivyo babu angekuuguza presha maana kifanyio kila saa mbele kama tai....lol
kwoti yako nishaijibu hapo juu..
imefikia hatua ya kuniambia hivyo?
umekua eeh...
wapi? huonekani, ulinipa fake promise wewe..
hongera zako, miss neddy apumue aisee