Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Utakapo kujua hali yang mimi sijambo,hofu yangu ni wewe ulie mbali na upeo wa macho yangu.Usiku silali,nkilala nakuota wewe,nikinywa maji nakuona kwenye glass,ukila wewe mimi nashiba,nakupenda sana,.........

Nani huyo
 
anataka kusemaje tena?
afu kuna huyu mtu anaitwa kibo, mnajuana? ni kwanini anakuita hny?

@uran mbona wivu tena mimi nilikuwa safarini nimerejea na nimepikwa kweli na babu kazi yangu sasa ni kuzigandisha tu!
 
Nimekuletea magimbi,maparachichi,na kuku wa kienyeji bibi anakusalimu sana

Nilijua tu lazima ukatibiwe bush babu yangu hakosei, alikukabidhi mshipa kilo 5, pole sana najua hujapona, omba msamaha na acha kuzengea vitu vya watu.
 
Back
Top Bottom