Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Sungura1980 baada tu ya kukutana hee akasema anogopa kuibiwa, ikabidi ndoa ya rasharasha ifungwe jirani.
Sasa jana nikapitia ile nyumba ya mtongozano kuna kijana pale Rich Pol yuko tayari hata kuwa kidumu ila sijampa jibu bado.

eenh! yani ile kufika tu hata hujamjua excel wala nani, ukawekwa ndani?

sasa selection and choice uliifanyaje mtoto mzuri?
 
eenh! yani ile kufika tu hata hujamjua excel wala nani, ukawekwa ndani?

sasa selection and choice uliifanyaje mtoto mzuri?

Wewe hata sijui ulijichimbia wapi jirani. Nilipofika nikachoshwa na upweke halafu nikicheck bango hapo juu kila mtu na wake.

Basi nikaanzisha topic ya romantic guy, wakajitokeza nikachagua kwa interview maalum. Mwisho wa siku akapatikana yeye.
 
oh my head...!!!

na experience yangu yooote hii ya rythm and lyrics, nikashindwa kukuona jamani?

wallahi usingefikisha replies tano ww bila kunyoosha mikono!
 
oh my head...!!!

na experience yangu yooote hii ya rythm and lyrics, nikashindwa kukuona jamani?

wallahi usingefikisha replies tano ww bila kunyoosha mikono!

Hahahahahaaaa etie eeh. Ndio haikupangwa hivyo, nikapangiwa sungura1980. Hana neno ananipenda sana na kudekezwa sana. Mimi ndio malkia wake.
 
Hahahahahaaaa etie eeh. Ndio haikupangwa hivyo, nikapangiwa sungura1980. Hana neno ananipenda sana na kudekezwa sana. Mimi ndio malkia wake.

haya bana! tutabaki kuwa friends for benefit..!

karibu breakfast basi mwanamwema!
 
Mambo ya gizani ukayaunganisha pamoja jirani ili mume wangu hata asipate tabu kujua kilichokuwa kinaendelea wakati kalala.

Ila usijali najua wewe ndio utakayenitetea kwake, hakijaharibika kitu.

Tatizo si wewe rich ndo mwenye shida hawezi kukuacha kamwe Sungura 1980 anakupenda sana
 
Last edited by a moderator:
Tatizo si wewe rich ndo mwenye shida hawezi kukuacha kamwe Sungura 1980 anakupenda sana

Yeye Rich Pol halafu hanaga kama msimamo hivi, leo ataamka na jipya.
Jana tulikubaliana awe jenereta shost umeme ukikatika sitaki kukaa giza miye wakati majenereta yapo.
 
Last edited by a moderator:
hahahaa!! we mwanamke utachanganyikiwa bure!

yani mi nakusalimia unadhani ni mumeo?

mimi ni excel bana!!!! hebu niangali vizuri!!

Ahaaa oow sorry nilidhani mume wangu unajua bado kanokumbatia hapa pole sana mi mzima sana lakini
 
Yeye Rich Pol halafu hanaga kama msimamo hivi, leo ataamka na jipya.
Jana tulikubaliana awe jenereta shost uneme ukikatika sitaki kukaa giza miye wakati majenereta yapo.

Tehteh wakati mi kanipa kazi yakumtafutia mke
 
Back
Top Bottom