Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Shemeji yako mzima kabisa nimetoka kumpa stata sasa imemchosha amelala

Du na hali ya hewa hii! Hapo ni starter tu kazi yenyewe bado, naona Bantu lady atakuwa kwenye warming up muda huu maana amepotea ghafla.
 
Last edited by a moderator:
Du na hali ya hewa hii! Hapo ni starter tu kazi yenyewe bado, naona Bantu lady atakuwa kwenye warming up muda huu maana amepotea ghafla.
Anapiga jalamba ndo muda wenyewe huu ngoja na mimi nipate cha kulalia hapa jombaaa usiku mwema
 
Unajua unanichafua bure hapa? Wewe hukua jenereta langu, mimi nawewe tulimalizana mapema baada ya kumpata mahabuba wangu Oooh. Hahaahaaa best umepagawa mpaka ukadhani ni mimi duh punguza mawenge bana

hahahaha aisee leo mnanifurahisha sana ati,
 
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;

1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so kunakuwa na mwingiliano wa mada.
Kama kuna uliyempenda kutoka jukwaa lolote lile mlete hapa umwambie.

Kwa hiyo kupitia huu uzi hapa ambao ni maalumu wa kuelezana yale ya moyoni, utaeleza hisia zako na kumtaja mhusika wako na ikionekana unahitaji msaada utasaidiwa kuna wataalamu hapa
Tuko jiandae kusaidia watu hapa.

2. Kutengeneza couples zaidi ndani ya jukwaa. 2014, zitawaondolea wengi stress!!

3. Kumaliza malalamiko kwa wageni na wale wote walioko single,
mara nyingi kumekuwako na malalamiko kutoka kwa jinsia zote juu ya kuwa single
Na hii hujitokeza sana pale ambapo unakuta kuna wapendanao kama Lady doctor na Arushaone wakishow malove yao, utasikia oh heri yenu mnaopendana au kutoa kauli nyingine kama hizo, ambazo ni za malalamiko.
Hakuna haja ya kulalamika tena kwani na wewe unaweza kuwa na Mpenzi na ukaonyesha malove ya nguvu.

Hii itakuwa habari njema kwa madomo zege pia, kwani kama huwezi utasaidiwa..

Kama kuna mtu umemwona kutoka jukwaa lolote lile hata la Sports, Siasa, Ujasiriamali, Kazi na Tenda n.k
Ukampenda na ukaona anakufaa wewe, mlete hapa couple itengenezwe!!!
Hakuna haja ya kushinda tena PM na ukaishia kula za uso...
Hapa vocal zinashushwa live live....
Baba V, Arushaone tuundieni kamati ya kufanikisha hili zoezi.
mwaka 2014 ni mwaka wa malove love.


Nawasilisha.

NB; hata walioko kwenye ndoa na hawazidumishi au hawaridhiki nazo!! u can create another one.

Couples ambazo zipo na zina exist
Ni hizi hapa na ni vyema zikaheshimiwa....
kiwatengu & shansarie
Tuko & jawilat (hii bado ni mpya sana) na ndoa itatangazwa muda wowote...

uran & 'Valentina'

Arushaone & Lady doctor

Judgement & YNNAH

watu8 & measkron
Filipo & marejesho
Erickb52 & Chocs (hawa huu mwaka wako kimya sana)...
sosoliso & Paloma...
Jerrymsigwa & amu (not verified yet).
Kaizer & DEMBA
Eli79 & KOKUTONA
Ruttashobolwa & Passion Lady..
Bishanga & The secretary (hii ni dormant kwa sasa)
The Boss & Kaunga (hidden)
Nyani Ngabu & Karucee (uknown but ipo.)
King'asti & Paw
Mr Rocky & Dena Amsi
nitonye & Arabela (hawa wameachana tayari)**
mkiva & Preety
Tyta & Eshy m.s (verified)

Mentor & mwallu (real in and out)....
Katavi & Husninyo (unlimited love)

Excel & miss neddy
Daudi1 & Angelicious

sungura1980 & Bantu lady (hongereni sana.) 🙂
Jipu na charty (dumisheni uhusiano wenu mara kwa mara)..

.......list bado inaendelea

Nyingine bado sijazisoma vizuri..
Ila na nyie mnaofuata hapa mseme status zenu isijetokea unapigwa vocal mara mbiili...
kabanga Vin Diesel Heaven on Earth Ablessed Munkari PakaJimmy Mtoto halali na hela Smile Mokoyo Mapi farkhina sidhani kama mko single labda mseme wenyewe..

Cc; Baba V Mamndenyi Madam B

Na ww yko ipi
 
Last edited by a moderator:
Saizi kaacha michepuko maana alitaka aanze tena

na umempa big BAN!!!
kimyaaaaa. nimeona sehemu kabadili hadi maana, eti wewe hukuwa jenereta.
oooh alikuwa hajakuita wewe mara ye anampenzi..
full kujimixxxx
 
kiwatengu, nataka nioe wawili kwa mpigo.....hii waonaje?
 
Last edited by a moderator:
na umempa big BAN!!!
kimyaaaaa. nimeona sehemu kabadili hadi maana, eti wewe hukuwa jenereta.
oooh alikuwa hajakuita wewe mara ye anampenzi..
full kujimixxxx
Nilitaka abaki njia kuu michepuo haina dili saizi ukizingatia mume wake sungura1980 anavyompenda na kumjali atakuwa anamuonea tu,namsubiri huyu mwenzake 'valentina' maana lao lilikuwa moja naye atulie na mumewe tena yule ana bahati mumewe huwa anamletea vitu vizuri mimi nashangaa
 
Nilitaka abaki njia kuu michepuo haina dili saizi ukizingatia mume wake sungura1980 anavyompenda na kumjali atakuwa anamuonea tu,namsubiri huyu mwenzake 'valentina' maana lao lilikuwa moja naye atulie na mumewe tena yule ana bahati mumewe huwa anamletea vitu vizuri mimi nashangaa

watulie kwa kweli..
'Valentina'..
 
Last edited by a moderator:
Jirani mambo vp, huyo alikuwa jenereta wa shostito sasa leo katajwa maneno yalivyomtoka hahahaaaa.
Hasira zake zote za kukataliwa kazitolea uvivu leo.
Nacheka hapa acha jirani.

haya nitaona mwisho wake yangu macho maana hawa wanaume nao mmmh
 
Back
Top Bottom