Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karucee the disappointer.
Hiyo kamati haijatoa tu majibu? Muache kuchepuka na kutoa visingizio.
Nashukuru nimepewa mume mtulivu ambaye hajawahi nicheat nakupendaje mume wangu. Mwili na kila kitu ni chako my hubby.
CC: sungura1980
Mbonyapfo Isack, aili ngyilakuich..
Nualyikie meku?
Ni mchepuko ama.. ni hackers?
Karibu jukwaani kaka..how was it?
Makavu live ni kwamba alitaka kuchepuka yule, asizuge nimeshamshtukia.
Makavu live ni kwamba alitaka kuchepuka yule, asizuge nimeshamshtukia.
Mke mweza kila kitu wanasema ni hacker jaman.
Kamati haiwezi kutoa majibu kwa maana wanajua ukweli...
Mke mweza kila kitu wanasema ni hacker jaman.
Kamati haiwezi kutoa majibu kwa maana wanajua ukweli...