Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Live Taifa Stars Vs Uganda CHAN

Saanyingine tujiangalie na wachezaji wetu, Hivi inawezekana vipi mpira kama ule Beki ageuke nao ndani badala ya kutoa uwewakurusha na timu nzima ije kukaba?

Hivi ni vitu basic kabisa katika mpira, Ni uzembe wa kiwango Cha lami.
 
Kuchoshana tu, Yani nikiangalia timu Kama Argentina,ureno,ufaransa,ujerumani,Brazil nk jinsi wachezaji wao wanavyovuja jasho kwa kuupiga mpira mwingi Kama vile wanapambania uhai wao halafu ukicheki na huu wetu ni Kama vile unachafua macho yako tu...
 
Kati ya siku niliwahi kuwa na furaha ni Leo. Yule Bwana anayemiliki mpira hapa Tanzania anaendelea kufanya vizuri Kwa matokeo haya.
 
Zee la fitina
1660838449151.jpg
 
Kuchoshana tu, Yani nikiangalia timu Kama Argentina,ureno,ufaransa,ujerumani,Brazil nk jinsi wachezaji wao wanavyovuja jasho kwa kuupiga mpira mwingi Kama vile wanapambania uhai wao halafu ukicheki na huu wetu ni Kama vile unachafua macho yako tu...
🤣🤣🤣🤣 Wale wameandaliwa kaka alafu hamna mambo ya kingese ya kudai posho. Wale mzigo upo tayari.
Hili li timu bora kama alivyosema magu...tuchukue wanajeshi wacheze tuu
 
Kati ya siku niliwahi kuwa na furaha ni Leo. Yule Bwana anayemiliki mpira hapa Tanzania anaendelea kufanya vizuri Kwa matokeo haya.
Sii wanaleta ujinga wao wa kusema wachezaji wakigeni 12....utaona sasa hali itakuwa mbaya zaidi
 
Wewe hiki kichwa cha mwendawazimu bado unakuwaga na matumaini nacho🤣🤣🤣🤣

Mbona wajipa stress za kijinga
Mkuu ndio timu yetu ya taifa, hatuna budi kuumia kwa matokeo mabaya.
 
Back
Top Bottom