LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

Kaizer, tushapata msosi na sasa tunachat kidogo kabla ya kuondoka eneo la tukio
Bahati mbaya hakuna vimiminika, hii familia inampenda Mungu aisee, mialiko kama hii haiwafai marafiki zangu kina Asprin, Ruttashobolwa, Paloma, Madame B, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi.
Lakini kama ingekuwa Mwita Maranya, yule ni mtumishi angefurahia huu mkusanyiko aisee...

ahahah kwani tunaTunaotumia vimiminika hatumpendi Mungu?? Tunampenda sana na ndio maana tunaotumia vimiminika tunachelewa sana RIP
 
Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
Usisahau kunipitia ukiwa on the way 2 unyakyusani, ili kidogo nikudokezee mila za huko. Ili uepuke faini zinazoweza kuzuilika!
 
December lazima niende home jamani,hii thread imenitamanisha mandhari ya kwetu,...hongereni kwa kupata wakishua
 
Back
Top Bottom