LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

LIVE: Tunaelekea kwa Wanyakyusa kupeleka posa...

hawajaimba kale ka wimbo kao ka Tumbogele Tumbogele(Sijui kama nimepatia hapa)
huku wanakuwa kama wanapiga magoti vile!!!!!
bado tuko nje tunangoja kukaribishwa, kuna mzee kaja hapa kasema 'TWAMASIKU'
 
wametandika vitenge vya wax chini na wameweka effu kumi kumi zinafika laki moja na sie tunapita juu ya wax tunaweka elfu kumi kumi. mpaka sasa zimeshatutoka laki moja. kazi ipo
 
hapa naona ni mwendo wa soda tu, hakuna contensa wala nini..
sijui ni walokole hawa!
 
wametandika vitenge vya wax chini na wameweka effu kumi kumi zinafika laki moja na sie tunapita juu ya wax tunaweka elfu kumi kumi. mpaka sasa zimeshatutoka laki moja. kazi ipo

Nilikwambia mkuu.....tushapanga.Sasa bado pesa yakumfichua bibie.
Ni mwendo wa vya sukar mpaka mate yabadirike rangi Heaven on earth nakuona hapo.....
 
Last edited by a moderator:
hivi sasa ndio tunakabidhi mahari, hawa jamaa wametugonga milioni mbili...LOL
 
Back
Top Bottom