jamaa wanapenda lugha yao hawa, wanaongea kikwao tu..
nimesikia Mmoja anamuuliza mwenzake..
'FII KUTI KUVONEKA..'
Hawa ndugu kwa sherehe uwa wanajipanga sanaduh, tushamaliza ngwe ya kwanza, ...
duh huu ukoo ni mkubwa aisee wako wengi kweli...
hivi sasa ndio tunakabidhi mahari, hawa jamaa wametugonga milioni mbili...LOL
ama kweli milima haikutani, nimekutana na mdada mmoja ni ndugu wa mwali mtarajiwa, nilijuana naye kitambo kidogo, lakini inabidi nimchunie maana mama ngina yupo, asije lianzisha....