Milioni mbili kwa kisa gani? Labda kama anayeolewa ni miss strong
mmezidi bana, kwani ni mfugo uko mnadani.....?
Kwa mila zetu ni mwiko ku bargain because it is not business transaction, tukipangiwa mahari tunatoa bila kuomba punguzo...Hapana bhana....ujue mali inapangwa kimila,na sijui huyo ni mnyak wa wap.Na je hiyo ndo imliyoanziwa?au ndo imepunguzwa?
Kwa mila zetu ni mwiko ku bargain because it is not business transaction, tukipangiwa mahari tunatoa bila kuomba punguzo...
Me milioni tatu imeshapangwa kabisaaaaa.....kwasababu bado sijaanza mchezo mbaya Kaizer teh teh
Tunaahidi kumtunza binti yenu wala msihofu
baba listi umeiona jukwaa la la siasa??
teh teh teh mie narudi kama gesti maana :ban: zimetembea vibaya mno
Kweli kiswahili kimetukataa. Kilimanjaro ni nyingi na ni pana
He list ya nini tena
Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.