miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
kwanini unaniita sehemu ambayo hainihusu nani amekwambia mie ni kabila hilo mm ni msukuma sitokei pande hizo
Sorry..... ladyfurahia
wametandika vitenge vya wax chini na wameweka effu kumi kumi zinafika laki moja na sie tunapita juu ya wax tunaweka elfu kumi kumi. mpaka sasa zimeshatutoka laki moja. kazi ipo
Kaizer, tushapata msosi na sasa tunachat kidogo kabla ya kuondoka eneo la tukio
Bahati mbaya hakuna vimiminika, hii familia inampenda Mungu aisee, mialiko kama hii haiwafai marafiki zangu kina Asprin, Ruttashobolwa, Paloma, Madame B, Kipaji Halisi, Jiwe Linaloishi.
Lakini kama ingekuwa Mwita Maranya, yule ni mtumishi angefurahia huu mkusanyiko aisee...
ahahah kwani tunaTunaotumia vimiminika hatumpendi Mungu?? Tunampenda sana na ndio maana tunaotumia vimiminika tunachelewa sana RIP
Kwetu kwa wale wazee wanye busara hakuna mahari in the strict sense zaidi ya zawadi ndogo ndogo kama blanketi la bibi nk
Usisahau kunipitia ukiwa on the way 2 unyakyusani, ili kidogo nikudokezee mila za huko. Ili uepuke faini zinazoweza kuzuilika!Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
kwani wewe ni mmojawapo au uko miongoni mwa hao shiriki?
Wakilimanjaro
Mwanga