KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nadhani mkuu utakuwa unajiongelea wewe na timu yenu ya ndala maana kwenye masuala ya hongo hamna mpinzani...........Ama kweli nyani haoni kundule, yaani mikia fc leo wakukaa na kusema yanga inabebwa na waamuzi!!!? hebu njoo utuambie ile penati ambayo mlipewa siku mnacheza na mbeya city ilikuwa halali? au umesahau kwa kuwa penati yenyewe iliota mbawa!!!! vipi ile tabia ya timu yenu kuwahonga wachezaji wa timu pinzani mumeiacha au wadhani kuwa watu hatuyajui haya!!! Ni afadhali unyamaze tu kama huna la kusema.
Nadhani mkuu utakuwa unajiongelea wewe na timu yenu ya ndala maana kwenye masuala ya hongo hamna mpinzani...........
Na yule mchezaji wenu wa zamani wa simba Ulimboka aliyekashitakiwa kule morogoro kwa kosa la kumkuta akitoa hongo kwa golikipa wa zamani wa mtibwa suger Shaban Kado nae alitumwa na yanga!!?, watu wengine bhana sijui wakoje!!! Unakumbuka lile sakata la wachezaji wa azam fc ambao walifungiwa na timu yao kwa kubainika kuwa waliihujumu timu baada ya kupewa chochote kitu na viongozi wa timu yenu halafu wakasabisha timu yao kufungwa goli tatu!!!!. Rudi ukajipange then utakuja tena hapa wewe mbumbumbu wa kariakoo.
Mida inayoyoma,yamebaki masaa takribani manne tu,au dakika takribani 240 ama sekunde 14400 ule mtanange kati ya Costo ya Tanga na Yanga ya Dsm kupigwa.OKWI BOBAN SUNZU na makamanda wengine tutakuwa live kukujuza kinachojiri.Inasemekana game itakuwa serious sana.Usicheze mbali
Kwahiyo wewe unapingana na kauli ya Wahenga isemayo "Adui yako muombee njaa"?Hizo ni dalili kuwa hawana imani na timu yao mkuu...
Na yule mchezaji wenu wa zamani wa simba Ulimboka aliyekashitakiwa kule morogoro kwa kosa la kumkuta akitoa hongo kwa golikipa wa zamani wa mtibwa suger Shaban Kado nae alitumwa na yanga!!?, watu wengine bhana sijui wakoje!!! Unakumbuka lile sakata la wachezaji wa azam fc ambao walifungiwa na timu yao kwa kubainika kuwa waliihujumu timu baada ya kupewa chochote kitu na viongozi wa timu yenu halafu wakasabisha timu yao kufungwa goli tatu!!!!. Rudi ukajipange then utakuja tena hapa wewe mbumbumbu wa kariakoo.
Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu.Rage hakukosea: Simba SC fans are Mbumbumbu!
Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu.
Hamjui kuna watu wana Shahada zao za Uzamivu humu?
Mkuu OKW BOBAN SUNZU uwepo jukwaani hadi mwisho na utoe updates bila kuegemea upande wowote kama Makoye Matale anavyofanyaga, sawa?
Kwahiyo wewe unamuunga mkono yule kichaa mwenzako au siyo? Sitashangaa ukimsapoti Rage maana alikuwa analindwa na TFF ambayo wote tunaijua imejaa watu wanaoshabikia timu gani.Hiyo ni kauli ya mwenyekiti wenu mhe. Rage. Siyo ya mtumishi wa Bwana Makoye Matale, watu wote wanalijua hilo, ukibisha utakuwa hujafikishwa Mirembe huku ukistahili kuwa huko.
swadakta,i wil be fair,ushabiki ntaleta kwenye ID yangu nyingineMkuu OKW BOBAN SUNZU uwepo jukwaani hadi mwisho na utoe updates bila kuegemea upande wowote kama Makoye Matale anavyofanyaga, sawa?
mwenzetu umepata wapi matokeo?Atakimbia huyo OKW BOBAN ZUNZU hasa hasa yanga watakapofunga goli la pili.
Kwahiyo wewe unamuunga mkono yule kichaa mwenzako au siyo? Sitashangaa ukimsapoti Rage maana alikuwa analindwa na TFF ambayo wote tunaijua imejaa watu wanaoshabikia timu gani.
Umeshindwa hata kuelewa ni mara ngapi alipinduliwa na mara zote hizo amelindwa na vichaa wenzake wapenda matusi kutoka Yanga waliojazana TFF.
swadakta,i wil be fair,ushabiki ntaleta kwenye ID yangu nyingine
mwenzetu umepata wapi matokeo?