Live Updates:Costal Union vs Yanga

Live Updates:Costal Union vs Yanga

Mkuu huyo Makoye Matale nilidhani ni mtu mmoja mwenye busara sana alipotuaminisha yeye ni mtumishi wa Mungu. Lakini nimegundua ni tapeli la kawaida la mitaani, ametukana humu ndani, mimi sikutaka kumjibu kwa tusi lakini nikamuonya kwa kumwambia kwamba kama yeye anajifunza matusi ukubwani sisi tuna shahada ya uzamivu katika suala hilo.

Neno shahada ya uzamivu limemtoa katika reli akaanza kutoka mapovu tena mwisho wa siku na vijana wanaokurupukia hoja wakalishika neno la Makoye Matale na kuanza kuniuliza maswali ya kitoto. Ndugu yetu Makoye ni wakukurupuka 100%.

Mkuu grafani11 sijatukana mtu yeyote humu jamvini na kamwe siwezi kufanya hivyo, nimem-quote mwenyekiti wenu Rage aliposema wana Simba ni mambumbumbu! Kama hilo ni tusi naomba nielimishwe.

Kuhusu uzamivu wala usihangaike, sitishiki na shule yoyote mimi, elewa hivyo tu. Hapa tujadili Simba na Yanga, full stop.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nadhani wakijitahidi kama JKU itapendeza zaidi.
Bado muda mchache sana mama simba awe katika hali ya huzuni kwani atashuhudia yeye mwenyewe jinsi mtoto wake atakavyokuwa anachomwa mikuki ya sumu na mwindaji mwenye njaa kutoka Jangwani, lakin huzuni hizo za mama simba hazitamzuia mwindaji huyu kumrarua mtoto wake. Ila kitakachomuuma sana MAMA SIMBA ni kumunaona mtoto wake wa pekee anauliwa katika poli alilozaliwa na yeye MAMA SIMBA asijue la kufanya.....
 
Wacha matusi mpuuzi wewe. Ulimboka alihukumiwa kama nani?Kiongozi wa Simba? Alikuwa mchezaji wa Simba wakati huo?Alipewa adhabu gani? Kuqoute bila kujua mwisho wake ulikuwa nini?Sijui tuuitaje? Ukitaka kujibiwa kwa matusi utajibiwa. Ukitaka kujibiwa kwa hoja utajibiwa pia. Haiondoi ukweli kwamba Katibu Mkuu wa Yanga alifungiwa maisha kwa kujaribu kuhonga Marefa kutoka Ethiopia.
Makoye Matale si mpuuzi hata siku moja, yeye huja na ukweli mtupu, wanaokasirika acha wakasirike!
 
Last edited by a moderator:
Unalaumiwa kwa kupoteza uelekeo wa uzi na jukwaa kwa ujumla,njoo uombe msamaha kwa wakuu.ushosti wako na bantu lady unakugharimu

Mkuu achana na grafani11, yeye mwenyewe kakiri kwamba hana shahada ya uzamivu kitaaluma bali anayo ya kutukana watu. Tatizo lake hajui kwamba unapoweka full stop, unaanza sentensi mpya inayojitegemea.

Namnukuu 'Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu. Hamjui kuna watu wana Shahada zao za Uzamivu humu?' mwisho wa kumnukuu.
 
Last edited by a moderator:
Kikosi cha yanga kinachoanza leo; 1. Ally Mustapha, 2. Mbuyu Twite, 3. Osca Joshua, 4. Rajabu zahir, 5.Nadir Haroub Canavaro, 6. Juma Makapu, 7. Simon Msuva, 8. Salum Telela, 9. Amis Tambwe, 10.Kpah Sherman, 11. Andrey Coutinho. Sub-- Juma Abdul, Ngassa, Javu,
 
yanga chiboko, mmeyatupa makapi ya simba leo
 
Kikosi cha yanga kinachoanza leo; 1. Ally Mustapha, 2. Mbuyu Twite, 3. Osca Joshua, 4. Rajabu zahir, 5.Nadir Haroub Canavaro, 6. Juma Makapu, 7. Simon Msuva, 8. Salum Telela, 9. Amis Tambwe, 10.Kpah Sherman, 11. Andrey Coutinho. Sub-- Juma Abdul, Ngassa, Javu,
Mrwanda Yondani ...out lkn bado kuna Barthez, Msuva, Cannavaro na Tambwe
 
Mkuu achana na grafani11, yeye mwenyewe kakiri kwamba hana shahada ya uzamivu kitaaluma bali anayo ya kutukana watu. Tatizo lake hajui kwamba unapoweka full stop, unaanza sentensi mpya inayojitegemea.

Namnukuu 'Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu. Hamjui kuna watu wana Shahada zao za Uzamivu humu?' mwisho wa kumnukuu.
Mpaka hapo nafurahi umejiona ulivyojichanganya, hapo unatapatapa kwa aibu tu. Jipime mwenyewe ujione kama unatosha kuelewa nyuzi zangu.
 
Back
Top Bottom