grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Wamekumbuka shuka wakati kumekucha, tuone watupe na wale vijana wetu waliopo Yanga kikazi. Tukiwataja haraka watashtuka ngoja wachapwe kwanza kama michezo miwili mfululizo hivi.yanga chiboko, mmeyatupa makapi ya simba leo
Kaseja ameshamaliza kazi yake, bado anawapelekesha puta kisheria kwanza, maana Yanga hata Kaseja anawazidi kwa kufahamu vifungu vya sheria. Wakati wanamchukua maskini hawakujua hata kama Jamaa ana kadi ya uanachama ya Simba.Kaseja hureeeeeeeee