Live Updates:Costal Union vs Yanga

Live Updates:Costal Union vs Yanga

Aaaaaaaaah Mkuu, na wewe una ID nyingine?

CC. Bantu lady: huyu hapa mwingine kama yuleeeee!
Makoye Matale usiwe kama bantu woman. huyu anaweweseka tu na mimi. wala simlaumu najua tatizo ni nini. Kama nikiwa na ID nyingine ntaiweka wazi. la msingi hapa tukae mkao wa kula kusubiria updates toka kwa Okwi boban sunzu. huyu lady nimempakata hapa naye anasubiria kwa unyonge kabisa. sisi tunajuana na wakati mwingne huwa napost huku ananiona na tunashauriana niandike nini ukiona amekuja huko amefura kwa hasira ujue kuna kitu nme mbore huku.
 
10492559_784923364888698_4573719083573834598_n.png

Ligi Kuu ya Vodacom

Raundi ya ** (Kiporo)

Uwanja wa CCM Mkwakwani

Saa 10 Jioni

Coastal Union vs Yanga Afrika
 
Mungu saidia vijana wetu hawa A. Tambwe, Barthez na S. Msuva waitende kazi ambayo wamekuwa wakiifanya na kama tulivyowatuma kwa usahihi leo hii huko Tanga uwanja wa Mkwakwani, kama wenzao akina Okwi, Kaseja walivyoikamilisha kwa usahihi na kurejea nyumbani wakiwa salama. Mlinde Kijana wetu J. Kaseja na kesi za kijinga za hawa watu maana najua wakishindwa kesi wanaweza hata kumroga ili asiweze kurudi nyumbani akiwa salama. Ameen.

Samahani mkuu, ati wewe ndio mwenye digrii ya uzamivu!!?
 
Naona mnajifunza kutukana ukubwani, cha ajabu hata watumishi wa Bwana wameanza kuingia mkenge wa kusapoti huyo hapo juu.
Hamjui kuna watu wana Shahada zao za Uzamivu humu?

Hiyo ni kauli ya mwenyekiti wenu mhe. Rage. Siyo ya mtumishi wa Bwana Makoye Matale, watu wote wanalijua hilo, ukibisha utakuwa hujafikishwa Mirembe huku ukistahili kuwa huko.

Uzamivu unaingiaje sasa hapa? Tukianza kutishiana CV hapa tutapoteza uelekeo, hapa ni jukwaa la michezo tu siyo la elimu, unadhani wewe tu ndiye mwenye hiyo PhD? Pole sana!

Ukiona mtu anakilimbilia kutaja shule yake ujue huyo kazidiwa hoja, anataka watu wakae kimya kwa kuwatishia kiPhD cha chuo feki hapa jukwaani, wengine wataibuka waseme wao ni maprofesa sasa sijui itakuwaje. Ngoja tusubiri.
Wakukurupuka, hebu rudia tena kusoma vizuri huo uzi wangu ambao umepelekea uchanganyikiwe kabisa.

Hivi ukimtukana mtu halafu uliyemtukana anakwambia kauli hii, "unajifunza matusi ukubwani wakati watu tuna shahada zetu", wewe unaelewa nini?

Unaonyesha ni kiasi gani cha uelewa wa lugha za mafumbo ulichonacho kijana, je nikitumia lugha ya wakoloni utaelewa kweli. Rudi tena kajifunze hata kiswahili cha level ya QT tu.
 
Ulimboka Mwakingwe wa Simba alimhonga Shaaban Kado wa Mtibwa Sugar, alikamatwa na kufunguliwa mashtaka mahakamani, unataka kutuaminisha nini wewe? Unafikiri sisi ni mambumbumbu wenzako?

Chanzo: http://www.dullonet.com/sports/2011/12/24/ulimboka-mwakingwe-apandishwa-kizimbani/

Wacha matusi mpuuzi wewe. Ulimboka alihukumiwa kama nani?Kiongozi wa Simba? Alikuwa mchezaji wa Simba wakati huo?Alipewa adhabu gani? Kuqoute bila kujua mwisho wake ulikuwa nini?Sijui tuuitaje? Ukitaka kujibiwa kwa matusi utajibiwa. Ukitaka kujibiwa kwa hoja utajibiwa pia. Haiondoi ukweli kwamba Katibu Mkuu wa Yanga alifungiwa maisha kwa kujaribu kuhonga Marefa kutoka Ethiopia.
 
Makoye Matale usiwe kama bantu woman. huyu anaweweseka tu na mimi. wala simlaumu najua tatizo ni nini. Kama nikiwa na ID nyingine ntaiweka wazi. la msingi hapa tukae mkao wa kula kusubiria updates toka kwa Okwi boban sunzu. huyu lady nimempakata hapa naye anasubiria kwa unyonge kabisa. sisi tunajuana na wakati mwingne huwa napost huku ananiona na tunashauriana niandike nini ukiona amekuja huko amefura kwa hasira ujue kuna kitu nme mbore huku.
Mkuu sidhani kama hao watu wanakuelewa, maana ukitumia lugha za mafumbo japo kidogo unawachanganya kabisa.
 
coastal union,hamjui tu furaha mtakayoileta Leo hapa Tanganyika!!

jitahidini kama Ndanda.
 
Nafasi ya 11 inawavuruga mikia mpaka wanachanganyikiwa poleni sana.mbeya city ndio kiboko yenu.
 
Wacha matusi mpuuzi wewe. Ulimboka alihukumiwa kama nani?Kiongozi wa Simba? Alikuwa mchezaji wa Simba wakati huo?Alipewa adhabu gani? Kuqoute bila kujua mwisho wake ulikuwa nini?Sijui tuuitaje? Ukitaka kujibiwa kwa matusi utajibiwa. Ukitaka kujibiwa kwa hoja utajibiwa pia. Haiondoi ukweli kwamba Katibu Mkuu wa Yanga alifungiwa maisha kwa kujaribu kuhonga Marefa kutoka Ethiopia.
Mkuu huyo Makoye Matale nilidhani ni mtu mmoja mwenye busara sana alipotuaminisha yeye ni mtumishi wa Mungu. Lakini nimegundua ni tapeli la kawaida la mitaani, ametukana humu ndani, mimi sikutaka kumjibu kwa tusi lakini nikamuonya kwa kumwambia kwamba kama yeye anajifunza matusi ukubwani sisi tuna shahada ya uzamivu katika suala hilo.

Neno shahada ya uzamivu limemtoa katika reli akaanza kutoka mapovu tena mwisho wa siku na vijana wanaokurupukia hoja wakalishika neno la Makoye Matale na kuanza kuniuliza maswali ya kitoto. Ndugu yetu Makoye ni wakukurupuka 100%.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu humu hawana sifa hata ya kujibiwa nyuzi zao, mtu anakurupuka leo hii na kusema SIMBA ipo nafasi ya 11. Taaabu kwelikweli....
 
mbuyu twite,canavaro,mrwanda,Sherman na yondani wanaweza kugombea urais mwaka huu kwani umri unawaruhusu.
teheteheteheteheteheteheteheteeeeeeeeee....nashushia lunch yangu vizuri sana kwa uzi huu.
Hofu yangu ni je wenyewe wameuelewa.
 
Back
Top Bottom