KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nadhani mkuu utakuwa unajiongelea wewe na timu yenu ya ndala maana kwenye masuala ya hongo hamna mpinzani...........Ama kweli nyani haoni kundule, yaani mikia fc leo wakukaa na kusema yanga inabebwa na waamuzi!!!? hebu njoo utuambie ile penati ambayo mlipewa siku mnacheza na mbeya city ilikuwa halali? au umesahau kwa kuwa penati yenyewe iliota mbawa!!!! vipi ile tabia ya timu yenu kuwahonga wachezaji wa timu pinzani mumeiacha au wadhani kuwa watu hatuyajui haya!!! Ni afadhali unyamaze tu kama huna la kusema.