Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Naona safari ya R.Madrid umefikia kikomo.
 
Hahahaa Atletico atamjua R.madrid nani kwny UCL. Baca mjiandae kukusanya virago

real bado ni kibonde tuu kwa atletico kwa miaka ya karibuni lkn game haitokuwa nyepesi
 
Dah, maskini chama langu bingwa mtetezi. Naona kama safari inafika kikomo maana hao Atlet kwa kuikamia Real; utadhani ndio wanachukua kikombe.

Mbaya zaidi kwa kijana "current Ballon D'or player of year" the one-man-army; hesabu zitaharibikia hapo hapo!!

Ila katika soka kila kitu kinawezekana...go, go, go Blancos!!
 
Sasa mbona mechi zote za jumanne tamu asee tuangalie ipi tuache ipi
 
this time time hakuna team hata moja kutoka England,kwe Man United ndomwakilishi pekee wamashindano yakimataifa kwenye EPL leo hayupo nafasi yake waliochukua walikuwa makapi tuu
 

Mkuu, tatizo ni kwamba umeelezea mazuri ya timu moja tuu na kuacha timu nyingine.
 
naona kila set yangu imekubali

cc:
MUSSOLIN
 
Juventus ndio wamepata timu dhaifu zaidi. Hapa semi final ni kitu kisichoepukika. Kama wakifanikiwa hapo watakuwa na 90% kuchukua kombe kabisa. Timu ipo na nidhamu na spirit pia.
 
Juventus ndio wamepata timu dhaifu zaidi. Hapa semi final ni kitu kisichoepukika. Kama wakifanikiwa hapo watakuwa na 90% kuchukua kombe kabisa. Timu ipo na nidhamu na spirit pia.

pogba nje miezi miwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…