Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

psg wale ni wetu tunasukuma kama mlevi vile mashabiki wa chelsea tutakulipieni shangirieni tu barca kwa roho safi
 
Mkuu salamander naona tumekumbana na kigingi kuelekea nusu fainali

Usiogope, Atletico wamekuwa wana-defend tu kwenye mechi zao zote za hivi karibuni, ndio maana wameshapoteza mechi kadhaa lakini watu hawaongei anavyoongea kama ikipoteza mechi Real. Kama umeona mechi yao na Liverkusen, wale watoto walikosa tu confidence, Atletico walipata goli dakika ya 27, kisha wakachezeshwa half ground mechi yote mpaka wakashinda kwa pelnaties kwa bahati tu. hawana timu ya kutisha sana wale.
 

Real tunawapiga vizuri tuu
 

BARCA ndo BINGWA wa msimu huu
 
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
 
Kwa hyo mtoa mada we unataka nani amalizie kwao?? kwan barca haina haki.ya kumalizia kwao?? then.mbna hata madrid inamalizia.kwao?? na mnaondolewa... Chezea simeon😕

team.BARCELONA
 
Kwani man city alipigwa ngapi nyumbani kwao, waambie hao psg wakampigie palepale kwao!!!! Au kiwanja cha pale camp nou ni mdogo?

Mwambieni mchumba ronaldo acheze aache mambo ya kutembea na side mirror.
 
Kwani man city alipigwa ngapi nyumbani kwao, waambie hao psg wakampigie palepale kwao!!!! Au kiwanja cha pale camp nou ni mdogo?

Mwambieni mchumba ronaldo acheze aache mambo ya kutembea na side mirror.

Na Jumapili ndo wanaenda Camp Nou, hapo Madrid atasaga meno na kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…