Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu salamander naona tumekumbana na kigingi kuelekea nusu fainali
haya mkuu.jpili njema(in advance)
Jumapili uje kwenye fiesta ya thread yetu kule.
Usiogope, Atletico wamekuwa wana-defend tu kwenye mechi zao zote za hivi karibuni, ndio maana wameshapoteza mechi kadhaa lakini watu hawaongei anavyoongea kama ikipoteza mechi Real. Kama umeona mechi yao na Liverkusen, wale watoto walikosa tu confidence, Atletico walipata goli dakika ya 27, kisha wakachezeshwa half ground mechi yote mpaka wakashinda kwa pelnaties kwa bahati tu. hawana timu ya kutisha sana wale.
Wanabodi,
Leo ndio ile siku iliyokuwa inasubiriwa ambapo droo ya robo fainali ya Uefa Champions League (UCL) inafanyika pale Nyon Uswizi.
Droo inatarajiwa kuanza saa 8 mchana kwa masaa ya hapa nyumbani Tanzania, hivyo karibuni sana msicheze mbali.
Kuelekea kwenye droo hapo baadae unadhani timu zipi zinaweza kukutana kwenye hatua hiyo ya robo.
Timu zilizopo ni;
Barcelona (Spain)
Real Madrid (Spain)
Atletico Madrid (Spain)
PSG (France)
As Monaco (France)
Bayern Munich (Germany)
Juventus (Italy)
Porto (Portugal)
cc: Amavubi Mourinho Nzi IFRS TUPACified mjukuum made ALEYN beefinjector LORDVILLE Nyani Ngabu The Boss RRONDO SAUTI YAKO EMT Belo Ntunzu Mbu everlenk Tyta
Real tunawapiga vizuri tuu
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
mechi ya mwisho kumaliza ugenini ni dhidi ya chelsea ya hiddik nadhani ilikuwa 2009wewe nAWE? umeiona barca tuu? bayan vipi?
Kwani man city alipigwa ngapi nyumbani kwao, waambie hao psg wakampigie palepale kwao!!!! Au kiwanja cha pale camp nou ni mdogo?
Mwambieni mchumba ronaldo acheze aache mambo ya kutembea na side mirror.