dennmatth
Senior Member
- Mar 25, 2010
- 179
- 142
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Mkuu umeanza kuangalia mpira? Tuanzie hapo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Msimu uliopita tu barca alianza nyumbani akamalizia away vs atleticoHivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Uwongomechi ya mwisho kumaliza ugenini ni dhidi ya chelsea ya hiddik nadhani ilikuwa 2009
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
![]()
Wewe unafikiri kuanzia ugenini ni kubebwa? Kama timu ni kilaza kama Arsenal haiwezi kwenda popote hata kama ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani. Miaka 25 Arsenal haijasinda hata kikombe cha kahawa ina maana haichezagi uwanja wa nyumbani?

madrid ipi?dah chama langu madrid kwaheli hapo
Kituko, ulitaka Manu wabebwe hata kama hawakufuzu? kwani ni nani aliyewatupa nje? jibu ni hawana sifa ya UCL. Na msimu ujao mtaendelea kuwa watazamaji tu.Mkuu timu za England bila Man U ni bure kabisa. Zote zilitupwa nje ya mashindano.
Tiba