Live Updates: Droo ya Robo Fainali ya UCL, Nyon Uswizi, leo Ijumaa 20.03.2015

Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
37EFDCB3F9C73B11E4DD21AFC15B2A23.jpg

Mkuu umeanza kuangalia mpira? Tuanzie hapo..
 
uyu jamaa alie andika mada nae sasa wee hiyo ndio umeona anabebwa wee shabiki gani manure sababu zisizo na mbele wala nyuma chelsea kaanza wapi kamaliza wapi acha uthenge
 
Hivi kwann mechi zote Barcelona huwa anamalizia nyumbani hii ni kuibeba timu hii nimeangalia droo ya leo ndo nimechoka kabisaa
37EFDCB3F9C73B11E4DD21AFC15B2A23.jpg

Wewe unafikiri kuanzia ugenini ni kubebwa? Kama timu ni kilaza kama Arsenal haiwezi kwenda popote hata kama ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani. Miaka 25 Arsenal haijasinda hata kikombe cha kahawa ina maana haichezagi uwanja wa nyumbani?
 
Haters wa Real Madrid jumapili ndio mwisho wao. Watarudi wakashabikie timu zao za EPL.
 
Wewe unafikiri kuanzia ugenini ni kubebwa? Kama timu ni kilaza kama Arsenal haiwezi kwenda popote hata kama ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani. Miaka 25 Arsenal haijasinda hata kikombe cha kahawa ina maana haichezagi uwanja wa nyumbani?

Na wewe acha umbea umeiona asernal tu...man city yeye kachukua lini
 
Wewe unafikiri kuanzia ugenini ni kubebwa? Kama timu ni kilaza kama Arsenal haiwezi kwenda popote hata kama ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani. Miaka 25 Arsenal haijasinda hata kikombe cha kahawa ina maana haichezagi uwanja wa nyumbani?

bora uendelee kukesha kwenye vigodoro
 
Kuna watu hata gombania goli na handsball hawakugusa haya basi kama hukupiga danadana basi hata ufahamu kidogo jamani huna?
 
Wewe unafikiri kuanzia ugenini ni kubebwa? Kama timu ni kilaza kama Arsenal haiwezi kwenda popote hata kama ikianzia ugenini na kumalizia nyumbani. Miaka 25 Arsenal haijasinda hata kikombe cha kahawa ina maana haichezagi uwanja wa nyumbani?

Ulipokosea ni hapo ktk 2 digits number!
 
Daaa afadhari Chelsea FC tulitolewa mapema tena kwa droo, kukutana na Barca ni totaly fiesco!
 
Mkuu timu za England bila Man U ni bure kabisa. Zote zilitupwa nje ya mashindano.

Tiba
Kituko, ulitaka Manu wabebwe hata kama hawakufuzu? kwani ni nani aliyewatupa nje? jibu ni hawana sifa ya UCL. Na msimu ujao mtaendelea kuwa watazamaji tu.
 
Back
Top Bottom