Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Mkata kiu ndo naingia brajec hapa, nina track suit nyeusi na tishet ya blue.. Wanachit chat mpo wap?
 
pole, ila hiyo ndoa yake na Chilli hawajaipitisha kwenye kamati yoyote, bado ni batili na siitambui

Jumatatu asubuhi mapema mamndenyi atakuta maombi ya usajili ndoa mezani kwake.
 
Last edited by a moderator:
Madam B nimefurahi kukuona!!

Yani hunishindi mimi Mrembo.
Yani kwa kweli roho yangu imesuuzika vilivyo mamii mara tu nilipokuona,u mrembo mamii,wacha nikusifie.
Ila usisahau yale maujumbe yangu kuleeee...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…