Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

Mkata kiu ndo naingia brajec hapa, nina track suit nyeusi na tishet ya blue.. Wanachit chat mpo wap?
 
pole, ila hiyo ndoa yake na Chilli hawajaipitisha kwenye kamati yoyote, bado ni batili na siitambui

Jumatatu asubuhi mapema mamndenyi atakuta maombi ya usajili ndoa mezani kwake.
 
Last edited by a moderator:
Madam B nimefurahi kukuona!!

Yani hunishindi mimi Mrembo.
Yani kwa kweli roho yangu imesuuzika vilivyo mamii mara tu nilipokuona,u mrembo mamii,wacha nikusifie.
Ila usisahau yale maujumbe yangu kuleeee...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hii picha inaonekana umetanua. Yaani moja kwa moja hadi kwa Paw, unakula server ban.
nipo kwenye folen hapa Ubungo. Natokea Chalinze kuchukua gongo.. Ntawakuta Brajec
foleni+bongo.jpg
 
Back
Top Bottom