Live updates kutoka Brajec survey kwenye chit chat reunion

nashukuru Madam B kwa kukiri kuwa mlifunikwa.....sisi walitokea wote kama ilivyopangwa.....na tulikula bata mbaya mpaka monii......Chugga chama kubwa bana........karibuni wote mnaohitaji usajili wa kudumu.........

Wajulishe hata duniani ukisema Tanzania wanajua Arusha, na hata toto zuri zote zipo jiji hili tehe tehe tehe.

Nimetupa jiwe gizani hapo,
 
Last edited by a moderator:
Jamani karibuni. Ndo mchana unapita.

samaki.jpg
 
Jamani karibuni. Ndo mchana unapita.

samaki.jpg

Mkuu ndio naamka, jana nilipitia mahali flani kulikuwa na KIGODORO, Duh, ahsante kwa lunch maana nilikuwa naubao mbayaaaa...

halafu hyo binti charminglady mie nilimjua tangu awali na nikawaambia lakini mkanipuuza... chezea Telepathy nyie, na yume mkuu aliyekyja na ODM Mzee Asprin nilimtambulisha kwenu akanikanyaga mguuni kunizima, Je mlimtambuaaa, au Brandy ilishawapanda vichwani?

Niulizeni niwakumbushe, alikuwa ni mtu muhimu kumjua katika eneo lile........ANAHUSIKA SANA NA JF
 
nasikitika kukosa....hivi lini tena mmepanga kukutana.
 
Back
Top Bottom