Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Live Updates: MO Bejaia FC vs Yanga SC at Unite Maghrebine Stadium!

Wakija Tz watakutana na kikosi hiki.
1.Dida
2.J.Abdul
3.Oscar
4.Cannavaro
5.Yondani
6.Twite
7.Kaseke
8.Kamusoko
9.Ngoma
10.Tambwe
11.Niyonzima
Bench:
Obrey Chirwa
Barthez
Kessy
Bossou
Msuva
Mwashiuya
Makapu
Dante
 
Kwaleo inatosha, yanga mmejitahidi haswa kipinfi cha pili, sasa narudi nyumbani simba sports club
 
Tatizo mibongo bana inapenda lalama duh duh ipo kazi! Algeria Piga madaso hao a.k.a yeboZ..

Hapa hakuna kusema eti waalabu wanajiangusha,badala yake semeni hivi!!! jamani hatujui mpira kwishnei
 
Tatizo mibongo bana inapenda lalama duh duh ipo kazi! Algeria Piga madaso hao a.k.a yeboZ..

Hapa hakuna kusema eti waalabu wanajiangusha,badala yake semeni hivi!!! jamani hatujui mpira kwishnei
Walabu no akina nani?
 
Ila game hata matukio hayarudiwi ndo kusema azam wapo juu mana naona warabu wanaturudisha zama za ujinga hata ndondo mfieto mzungu njo kujitawala hatuwezi mana wote tupo sawa halafu umewai kuondoka
 
Back
Top Bottom