yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
Tutawasubiri Taifa wao watulipie viingilio...Itabidi wapewe kazi ya kushangilia wageni..TP Mazembe wameahidi kuwalipia nauli Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutawasubiri Taifa wao watulipie viingilio...Itabidi wapewe kazi ya kushangilia wageni..TP Mazembe wameahidi kuwalipia nauli Simba
Mwarabu mpuuzi tu, hakuna mpira pale
achana na hawa wehu wanajipa matumaini tu...ngoja TP Mazembe waje wajipigieKama hakuna mpira goli wamefungiwa?
Mwarabu mpuuzi tu, hakuna mpira pale
Kumbuka waarabu karibia wote wametoka kufunga siku nzima na shughuli ndiyo hiyo je ingekuwa siku za kawaida?
Walabu no akina nani?Tatizo mibongo bana inapenda lalama duh duh ipo kazi! Algeria Piga madaso hao a.k.a yeboZ..
Hapa hakuna kusema eti waalabu wanajiangusha,badala yake semeni hivi!!! jamani hatujui mpira kwishnei
ILA hawa wapumbav kwa kujiangusha hawajambo
Walabu no akina nani?
achana na hawa wehu wanajipa matumaini tu...ngoja TP Mazembe waje wajipigie
Kama hakuna mpira goli wamefungiwa?