OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jun 24, 2023 #1 Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City. Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma. My Take Waha njoeni hapa mbishane
Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City. Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma. My Take Waha njoeni hapa mbishane
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,446 Reaction score 8,215 Jun 24, 2023 #2 Mbeya city hawashuki daraja hii haikubaliki
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #3 Hii imekuaje offside ? (Goal walilokataliwa mbeya city)Naomba mnielimishe tafadhali .....
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Jun 24, 2023 #4 All the best Kwa mshindi
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 16,464 Reaction score 35,629 Jun 24, 2023 #5 Mashujaaa tuko pamoja
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jun 24, 2023 #6 Mashujaa anapigwa goli tatu bila na atarudi kwao kigoma
DUBULIHASA JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,446 Reaction score 8,215 Jun 24, 2023 #7 Mbeya City tunamaliza mechi kipindi cha kwanza. Hawa Mashujaa wakipata hata shot off target yoyote ni zaidi ya ushindi
Mbeya City tunamaliza mechi kipindi cha kwanza. Hawa Mashujaa wakipata hata shot off target yoyote ni zaidi ya ushindi
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 24, 2023 #8 Vikosi vya timu zote mbili viko wapi?
TuntemekeSanga JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 1,346 Reaction score 862 Jun 24, 2023 #9 chotera said: Mashujaa anapigwa goli tatu bila na atarudi kwao kigoma Click to expand... Mkuu, Kigoma hatoki fala. Tukutane dakika 90
chotera said: Mashujaa anapigwa goli tatu bila na atarudi kwao kigoma Click to expand... Mkuu, Kigoma hatoki fala. Tukutane dakika 90
dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Jun 24, 2023 #10 Jambo siwapendi waha ila mbeya city naichukia Zaid. Bora Wana wajewagawe point za bure
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 24, 2023 #11 Daaah umeleta Update hakuna hata kusema ni dk ya ngapi, kona, njano au kuna goli limekataliwa.
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jun 24, 2023 #12 TuntemekeSanga said: Mkuu, Kigoma hatoki fala. Tukutane dakika 90 Click to expand... Wanakupasuka 3 au 4 bila na safari yao inaishia hapo Sokoine
TuntemekeSanga said: Mkuu, Kigoma hatoki fala. Tukutane dakika 90 Click to expand... Wanakupasuka 3 au 4 bila na safari yao inaishia hapo Sokoine
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 24, 2023 #13 Mbunge wao wa mbeya mjini YY yuko kwenye mashindano ya kula wali maharage. Ukooo.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #14 Dk 24' foul kwenda mbeya city ..... mpira umekwenda nje
crankshaft JF-Expert Member Joined Jun 12, 2019 Posts 1,427 Reaction score 3,438 Jun 24, 2023 #15 Huu mtindo naona kama haupo sawa. Yaani timu ipambane msimu mzima ishindwe halafu bado inapewa chance nyingine ya kusalia kwenye ligi? Kwa nini isingeshushwa moja kwa moja tu?
Huu mtindo naona kama haupo sawa. Yaani timu ipambane msimu mzima ishindwe halafu bado inapewa chance nyingine ya kusalia kwenye ligi? Kwa nini isingeshushwa moja kwa moja tu?
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Jun 24, 2023 #16 Ngoja tuone
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #17 dk 26' mbeya city wanafanya shambulizi hapa ila goal keeper amedaka wa mashujaa.
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #18 dk 27' shambulizi hatar la mbeya city langoni mwa mashujaa limezaa kona
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #19 Dk 28' mbeya city wamefanya shambulizi hatar sana langoni mwa mashujaa lakini halijazaa bao mbeya city wanalalamika hapa kwamba mpira ule ulivuka mstari baada ya kugonga mwamba wa juu kuja chini ...... Refa ameamua mpira uendelee
Dk 28' mbeya city wamefanya shambulizi hatar sana langoni mwa mashujaa lakini halijazaa bao mbeya city wanalalamika hapa kwamba mpira ule ulivuka mstari baada ya kugonga mwamba wa juu kuja chini ...... Refa ameamua mpira uendelee
G Goguryeo JF-Expert Member Joined May 17, 2019 Posts 3,003 Reaction score 5,653 Jun 24, 2023 #20 Dk 31' mashujaa wanashambulia langoni mwa mbeya city ........wameokoa mbeya city