Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City.

Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma.

My Take
Waha njoeni hapa mbishane
 
Hii imekuaje offside ? (Goal walilokataliwa mbeya city)Naomba mnielimishe tafadhali .....
 
Mbeya City tunamaliza mechi kipindi cha kwanza. Hawa Mashujaa wakipata hata shot off target yoyote ni zaidi ya ushindi
 
Jambo siwapendi waha ila mbeya city naichukia Zaid. Bora Wana wajewagawe point za bure
 
Daaah umeleta Update hakuna hata kusema ni dk ya ngapi, kona, njano au kuna goli limekataliwa.
 
Huu mtindo naona kama haupo sawa. Yaani timu ipambane msimu mzima ishindwe halafu bado inapewa chance nyingine ya kusalia kwenye ligi? Kwa nini isingeshushwa moja kwa moja tu?
 
dk 26' mbeya city wanafanya shambulizi hapa ila goal keeper amedaka wa mashujaa.
 
dk 27' shambulizi hatar la mbeya city langoni mwa mashujaa limezaa kona
 
Dk 28' mbeya city wamefanya shambulizi hatar sana langoni mwa mashujaa lakini halijazaa bao

mbeya city wanalalamika hapa kwamba mpira ule ulivuka mstari baada ya kugonga mwamba wa juu kuja chini ......

Refa ameamua mpira uendelee
 
Dk 31' mashujaa wanashambulia langoni mwa mbeya city ........wameokoa mbeya city
 
Back
Top Bottom