Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Nilitaman mbeya city ashuke daraja,lakin Kwa uonevu huu BORA WABAKI TU...ila kila nikikumbuka Ile shangilia yao MBOVU BORA WASHUKE TUHii imekuaje offside ? (Goal walilokataliwa mbeya city)Naomba mnielimishe tafadhali .....
Mpira Pesa mkuu,refa kala mlungula ,Mungu ibariki Mashujaa FCRefarii sijui ana maelekezo maalumu ama la ila Kuna vitu haviendi sawa sana ......
Kwa mnaongalia mpira mtanielewa