Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

mpira ni dka ya 8 kipindi cha pili wao 1 sisi 0
 
waarabu leo watalala na barafu miguuni
 
Jamani hivi leo wanakosekana Carnavao na Niyonzima? Naona kati kuna kitu kinakosekana. Wangekula migoli hawa mpaka waone kizungu zungu.
 
ila wanachofanya ni yanga wasiingie kwenye 18
 
sakni acha kuharibu hali ya hewa humu sio kilabuni ama sokoni.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kila dalili yanga kushinda leo


Wanacheza mpira mzuri sana
 
Kpah na Tambwe wanajisahau sana...kila mara wanakutwa wapo offside...
 
Back
Top Bottom