Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Live Updates Pambano la Yanga na Etoil Du Saheil ( Vijana wa kutoka Tunisia)

Tumetolewa kwa taaabu sana, bahati haikuwa yetu.

Mpira sio mchezo wa kubahatisha bali ni ujuzi, kipaji na mazoezi. Kiukweli Yanga imetolewa kirahisi kabisa kwa sababu:
1/Draw ya moja kwa moja nyumbani huko ni kufungwa.
2/Kufungwa goli moja bila ugenini huko ni kufungwa.
3/Kushindwa kupata goli ugenini huko ni kufungwa.
4/Kucheza zaidi ya dakika 50 na timu yenye wachezaji kumi tu uwanjani pasipo kuwafunga huko ni ulegelege.
 
Yanga tunapaswa kushinda mechi hii kuonesha kuwa zile nyingne hazikuwa team mbovu na wala league ya vodacom hatununui mechi. maana hizi habari za kuwa Platinum ilikuwa mbovu na kuwa hapa bongo tunanunua team hili huwa linaniuma sana. HII MECHI LAZIMA TUSHINDE.

mkuu nitakushangaa ukiingia kwenye mtego wa mawazo ya mikia eti YANGA inanunua mechi...vip wao mikia wenyewe walikupa wanawauzia Amina nani? maana katika ligi ya bongo simba Ndio unatisha ya kununua mechi Na kuhonga timu pinzani kaburu mwenyewe Ndio prefessional wa huo mchezo...hayo ni matokeo ya mpira ya kawaida sana
 
Wadau hapa tutapata Live Update za Pambano la Yanga na waarabu kutoka Tunisa Pambano hili litakuwa hewani leo saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki na ya kati. hapa ndipo tutakata mzizi wa fitina baada ya dk 90 au 120 za kusukuma gozi. Matangazo haya yamewajia kwa hsiani ya Watu wa JAMII FORUMS. Kwa ushirikiano mkubwa na wadhamini wetu...


dk ya 35 ETOILE 1 SISI(YANGA) 0


MPIRA UMEKWISHA MIARABU IMESHINDA MOJA 1.. SISI YANGA 0 ..... HII MIJAMAA NEXT TIME TUIITIE SIMBA TU. YANGA TURUDI KUJIPANGA KWA MAKOMBE YA HAPA HAPA AFRICA MASHARIKI NA BONGO.
Haa yaani mtasubiri miaka kama 2 au 3 kwa sasa mjipange kwenda kucheza huko musoma wilaya ya rorya,But Iam proud of yanga.
 
Sasa sijui wasingewekewa governor (wangekuwa 11) sijui ingekuwaje?
 
Wachezaji wa Yanga watakaporejea Tanzania mashabiki twende tukawazomee maana wametuaibisha kabisa.
 
tumetolewa but am so proud na timu yangu yanga! Tinaenda champions league next yr kuna some additional kidogo ya wachezaji..kipa mido mkabaji na goal score tu...tutafika mbali inshaaalah
 
Hivi kweli kabisa mashabiki wa Kandambili mlitegemea muwafunge waarab na kina Msuva?? Hahahah nyie subiri mechi zenu za kununua hapa bongo basi!!..
 
Kuna mijitu ina roho mbaya humu, imejawa na roho za ubinafsi. Kweli unaombea timu ya nyumbani ifungwe sijawahi kuona roho za shetani kama hizi. Ndiyo maana nchi inakosa maendeleo kutothamini vya nyumbani... Pumbavuuuu !!
 
Back
Top Bottom