Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Tumetolewa kwa taaabu sana, bahati haikuwa yetu.
Mpira sio mchezo wa kubahatisha bali ni ujuzi, kipaji na mazoezi. Kiukweli Yanga imetolewa kirahisi kabisa kwa sababu:
1/Draw ya moja kwa moja nyumbani huko ni kufungwa.
2/Kufungwa goli moja bila ugenini huko ni kufungwa.
3/Kushindwa kupata goli ugenini huko ni kufungwa.
4/Kucheza zaidi ya dakika 50 na timu yenye wachezaji kumi tu uwanjani pasipo kuwafunga huko ni ulegelege.