LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Kuanzia ile raound ya 6 Mwakinyo anamzidiv
 
Mayala anaonewa kwa jicho la kibinadamu aisee. Ni nani aliyeandaa hili pambano? Nasikia Mayala alipewa short notice ya 12days, hii ndo mbinu ya Mwakinyo kujitutumua kuwa anajua? Au ndo mambo ya Floyd kuandaa pambano, kumlipa mpinzani kisha kushinda?

Sijashawishika bado, siku 12 kwaajili ya pambano na jamaa akakubali? Njaa nadhani, na bado Mwakinyo anahenya pamoja na kusema HAITAJI MANENO YETU YA FARAJA, na kwamba anamaliza pambano mapema kabisa, naona mzunguko wa 8 sasa.
 
Raundi ya 8 imeisha Mayala anaonekana kizidiwa idogo hapa
 
Inaingia Raundi ya 9 hapa sasa.
Mwkinyo anampigsaaa
 
Subiri nikuzomee mkiloose! [emoji3] amemshushia mingumi heavy tena fasta fasta dah[emoji7]
Alijitapa kwamba ana uwezo wa kumpiga Mayala raundi za mwanzo kabisa, lakini kwa vile anataka kuwapa burudani mashabiki wake basi atamsogeza hadi round ya 4 au ya 5 amalize kazi, sasa wamefikaje round ya 8........ana dharau na majivuno sana huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buuuuu kaangushwa ndugu yako huko tumeshindaa

20210528_233453.jpg
 
Haya Sasa...kumekucha Hapa.
Mwakinyo anamaliza Pambano kibingwaaa kwa Knockout Round ya 9
 
Back
Top Bottom