financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aisee Mwakinyo kajitahidi sana hope anashindaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri nikuzomee mkiloose! 😀 amemshushia mingumi heavy tena fasta fasta dah😍
Kushinda njaa au....Aisee Mwakinyo kajitahidi sana hope anashindaa
Twende kaz mwamba!Inaingia Raund ya 8 sasa
Alijitapa kwamba ana uwezo wa kumpiga Mayala raundi za mwanzo kabisa, lakini kwa vile anataka kuwapa burudani mashabiki wake basi atamsogeza hadi round ya 4 au ya 5 amalize kazi, sasa wamefikaje round ya 8........ana dharau na majivuno sana huyoSubiri nikuzomee mkiloose! [emoji3] amemshushia mingumi heavy tena fasta fasta dah[emoji7]
Buuuuu kaangushwa ndugu yako huko tumeshindaaAlijitapa kwamba ana uwezo wa kumpiga Mayala raundi za mwanzo kabisa, lakini kwa vile anataka kuwapa burudani mashabiki wake basi atamsogeza hadi round ya 4 au ya 5 amalize kazi, sasa wamefikaje round ya 8........ana dharau na majivuno sana huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe!!!Alijitapa kwamba ana uwezo wa kumpiga Mayala raundi za mwanzo kabisa, lakini kwa vile anataka kuwapa burudani mashabiki wake basi atamsogeza hadi round ya 4 au ya 5 amalize kazi, sasa wamefikaje round ya 8........ana dharau na majivuno sana huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri sanaHaya Sasa...kumekucha Hapa.
Mwakinyo anamaliza Pambano kibingwaaa kwa Knockout Round ya 9