LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

LIVE Updates: Rumble in Dar Season 2

Kweli jamaa angekuwa na ngumi nzito, pambano lingeishia raundi ya kwanza.

Ukilinganisha na lile pambano jingine alilobebwa, hili ametawala round nyingi, na sababu sasa si ndo hiyo, ameonea dagaa...jamaa na miaka yake 38, angalia mapambano aliyopigana na kushinda ahahahah

Kwa mwandiko wako, wewe ni Tanga line
Aah mimi ni wa Green city mkuu huko Tanga hata sipajui🤔
 
Nilisahau kuwa tunatumia ID fake na picha fake, si kuona hiyo sura nikafanya assumption kuwa X=Y😉

Kwahiyo unalipambania jina sio? Mwa...😎
Wala hata si jina! Mtu wa Tanga huyo ila basi tu yuko vizuri acha wivu au unataka hadi aombe pambano na wewe udundwee ndiyo uamini yupo vizuri?😀
 
Wala hata si jina! Mtu wa Tanga huyo ila basi tu yuko vizuri acha wivu au unataka hadi aombe pambano na wewe udundwee ndiyo uamini yupo vizuri?😀
Nitamdunda tu, sema bahati mbaya mimi nilijifunza magujuluu na mwalimu wangu huwa ananisifia kwa MBIO, ukianzisha tifu, utakuja kunisimulia mlivyomalizana...ubobevu wangu unatumika sehemu kama hizo sasa🤪
 
Unatoka speed kali 😀😀😀 huo tunaita uoga kaa hapo maliza tifu😀
 
Jongo kapigwa ngumi moja Tu dah
Alikuwa keshamchana mnigeria damu tupu
Sijaelewa mkuu hiyo ngumi moja imemzimisha au?
Mayala anaonewa kwa jicho la kibinadamu aisee. Ni nani aliyeandaa hili pambano? Nasikia Mayala alipewa short notice ya 12days, hii ndo mbinu ya Mwakinyo kujitutumua kuwa anajua? Au ndo mambo ya Floyd kuandaa pambano, kumlipa mpinzani kisha kushinda?

Sijashawishika bado, siku 12 kwaajili ya pambano na jamaa akakubali? Njaa nadhani, na bado Mwakinyo anahenya pamoja na kusema HAITAJI MANENO YETU YA FARAJA, na kwamba anamaliza pambano mapema kabisa, naona mzunguko wa 8 sasa.
Mkuu huyo mwakinyo alimpiga Sam kwao uingereza kwa pambano alilotaarifiwa siku ngapi kabla?
 
Kama Mwakinyo Ni bondia Mzuri aende akacheze Hata Pambano Moja Tu Urusi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama Mwakinyo Ni bondia Mzuri aende akacheze Hata Pambano Moja Tu Urusi [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwanini unatanguliza neno Kama? offcoz jana alijitahidi sana kupigana, japo sio kwa kiwango kile kikubwa.
 
Kwanini unatanguliza neno Kama? offcoz jana alijitahidi sana kupigana, japo sio kwa kiwango kile kikubwa.
Wanampamba Sana Ila Hana Uwezo kivile, Mtu sio division ya uzito Wako Ila unapelekeshwa Mpaka round ya 9 [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
 
Sijaelewa mkuu hiyo ngumi moja imemzimisha au?

Mkuu huyo mwakinyo alimpiga Sam kwao uingereza kwa pambano alilotaarifiwa siku ngapi kabla?
Sema Mwakinyo aliturudishia matumaini kumbuka mapambano Matano Watz tulipoteza.

Tena ndugu yetu Jongo ambaye tuliamini angeshinda alipasuliwa na mnaija at winning point.

Kati ya Michezo 7 Watz tulishinda 2 tu yaani.
Big Up Mwakinyo, Big Up Ibra Class
 
Wanampamba Sana Ila Hana Uwezo kivile, Mtu sio division ya uzito Wako Ila unapelekeshwa Mpaka round ya 9 [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Ni kweli tofauti yao ilikuwa kg 3 tu.

Ngumi ni ngumi mkuu.
Ulimwona Shaban Jongo na yule Mnaija? Nini kilitokea?
 
Back
Top Bottom