financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Aah mimi ni wa Green city mkuu huko Tanga hata sipajui🤔Kweli jamaa angekuwa na ngumi nzito, pambano lingeishia raundi ya kwanza.
Ukilinganisha na lile pambano jingine alilobebwa, hili ametawala round nyingi, na sababu sasa si ndo hiyo, ameonea dagaa...jamaa na miaka yake 38, angalia mapambano aliyopigana na kushinda ahahahah
Kwa mwandiko wako, wewe ni Tanga line