Live Updates: Simba Sc-Wenye nchi tunaiweka nchi mbele

Mkuu unataka kweli twende huku?
Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.
 
Msituharibie shughuli yetu. Kwani timu hazitakiwi kufanya shughuli za kijamii? Kwani jukumu la kwanza la raia/mwananchi si ni kulilinda na kulitetea taifa lake? Nyie wa kususa inamaana kesho tukivamiwa mtasema hamtalipigania kisa kuna JWTZ na nyie hamlipwi?
 
Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.
Tutalirudia hili suala wakati mwingine, ngoja tuenjoy shughuli yetu
 
Tunakumbushana tu, wao waliwaona watu weupe ni Bora kuliko umoja wetu katika kutafuta uhuru, Waki itwa Simba inatosha mambo ya Nchi hii Asili yake ni Yanga.
role ya kwanza ya klabu ya soka ni kucheza mpira, sio kutafuta uhuru wa nchi 😁
 
Ili kuonyesha Serikali inajali mchango wa Yanga katika kupigania uhuru wa nchi hii ilitakiwa fedha zote ziwe na Logo ya Yanga.
Yanga ilikua ikitumia mapato yake baada ya mechi kufadhiri shughuliza TANU wakati wa kupigania uhuru.
Simba ndio timu ya kwanza kucheza mechi ikiwa imevaa viatu

Simba ndio timu ya kwanza kuvaa jezi

Simba ndio timu ya kwanza kumiliki basi lake

Hizo hela unazodai Yanga walikuwa wakizitumia kwenye mambo ya uhuru walizitoa wapi kama kwenye mechi tu walishindwa kumudu gharama za jezi walikuwa wanacheza matumbo wazi?
 
Unawezaje kuandika article ndefu halafu ukakosa uelewa wa mambo madogo? Umenikumbusha shuleni unakuta jamaa kajaza booklets anakula 10% wewe pages 3 unakula 80%.

Kama ni suala la huo udhamini Simba ilishamalizana na Mbet nje ndani,kwa hiyo mdhamini ameamua atumie vipi nafasi yake. Kwa hiyo Simba ilishachukua hiyo hela unayoitolea povu wewe
 
Wewe bado mchanga, aya mambo inabidi nikae na wakina Mzee Kilomoni kidogo na wakina kaduguda wanaweza kuwa Wana nielewa.

Vitu vingine kama huvielewi ujue sio saizi Yako wapo watu wanaelewa.Nilicho andika wewe soma kiache, wenyekuelewa wanaelewa mwishowe utakua kituko kujibu usivyo vifahamu.
 
"Jezi zitauzwa Tsh. 35,000 kwa jezi moja na zitaanza kuuzwa Februari 15, 2023. Wachezaji wataanza kuvaa tukienda kucheza na Horoya."- Ahmed Ally.

#WenyeNchi
#NguvuMoja
 
Yanga wamezindua jezi, tumeona mashati tu yaliyovaliwa na mamodel wa mchongo wakati jezi iwe imekamilika ni shati, bukta na soksi. Yanga hawana umakini katika mambo yao.
 
Elezea namna mlivyo influence kwenye kuipatia nchi uhuru?

Hakuna mkoloni ambaye angekuwa convinced kwa namna yeyote na timu yenye watu ambao wanacheza mpira wakiwa peku

Inawezekana kabisa kuwa nyinyi ndio mliokuwa kero kwa nchi na ndio mlisababisha tuchelewe kupata uhuru kwa ushamba wenu
 
Kwahiyo wana yanga wote ni wana CCM? Akili yako muflisi sana
 
Japokuwa Simba damu, ila huyu vunjabei mkataba wake ukiisha, please hii zabuni apewe mtu mwengine angalau tupate taste mpya, mwamba anapwaya sana, ubunifu mdogo yani kinyonge sana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…