Live Updates: Simba Sc-Wenye nchi tunaiweka nchi mbele

Kwahiyo pasipo kuwepo kwa neno Tanzania, hayo uliyoyataja yasingefanikiwa?
Kila anayeliangalia goli la Sakho lililoshinda CAF anaona Visit Tanzania kwenye vifua vya miamba. We unaona jambo dogo hilo?
 
Kwa ni lazima uandike ujinga. Kama jambo linakutatiza kaa kimya kuficha upumbavu wako sio kukenua kenua tu
Sasa ujinga upi,ujinga ni kumwalika mchezaji kwenye kampeni za uchaguzi, sasa cha ajabu nini si Simba ndio walifanya ujinga wa kumwalika,sasa kuliza leo ulio ujinga mliofanunya kipindi cha uchaguzi ndio kosa au.....

Hii inatwa JAMII forum.
 
Una leta nadharia kwenye uhalisia!!!!.. yanga haiwezi kutumika kunufaisha wizara iliyo na bajeti ya hayo maswala... Kama walitaka watangaziwe wangeweka mpunga, Rwanda sio wajinga kwenda kwa psg. Yanga sio Azam wala Namungo kwamba anahitaji kujibrand tena... Simba ingekuwa inaijua pesa isingekubali kupokea 150m per year kutangaza bidhaa za Mo wakati huo Mbet atoe 1B+ kwa mwaka 😅. Wajinga ndio waliwao
 
Yanga inajua karaha ya kutembeza bakuli kwahiyo haitaki kurudi huko tena.
Basi jifunzeni kwa wanaoijua pesa vizuri msikurupuke. Huku ground watu wanafanya sana kazi za bure kujenga mahusiano mazuri na watu ili fursa ikitokea ukumbukwe. Unadhani pesa ya Haier ndiyo itamaliza matatizo yenu huku mkiharibu mahusiano na aliyekuwa anawaweka mjini?
 
Kuna kampuni isiyohitaji kujibrand? Kama hadi nchi zinajibrand, isijekuwa choka mbaya kama taasisi ya Yanga? Unajua Yanga waliingia mkataba na kampuni ya marketing mwaka jana, unajua kazi yao ni nini?
 
Kuna kampuni isiyohitaji kujibrand? Kama hadi nchi zinajibrand, isijekuwa choka mbaya kama taasisi ya Yanga? Unajua Yanga waliingia mkataba na kampuni ya branding mwaka jana?
Yanga haiwezi kujibrand kupitia kuvaa jezi ya visit Tz ni kwa kufanya vizuri uwanjani na usajiri Bora.. vyote hivyo vinahitaji pesa. Tanzania itatoa pesa kujitangaza kupitia wizara yake msilazimishe mnachokifanya nyie na wengine wakifanye😅..
 
Yanga haiwezi kujibrand kupitia kuvaa jezi ya visit Tz ni kwa kufanya vizuri uwanjani na usajiri Bora.. vyote hivyo vinahitaji pesa. Tanzania itatoa pesa kuimjitangaza kupitia wizara yake msilazimishe mnachokifanya nyie na wengine wakifanye😅..
Hakuna aliyelazimishwa ila leo mmelipa kwa makosa yenu. Wenzako wanaojua wanatambua hilo. Wewe unadhani kwa nini ile barua yenu waliamua kutoa maelezo wakati tumekataza kujieleza sana.
 
Hakuna aliyelazimishwa ila leo mmelipa kwa makosa yenu. Wenzako wanaojua wanatambua hilo. Wewe unadhani kwa nini ile barua yenu waliamua kutoa maelezo wakati tumekataza kujieleza sana.
Yanga ishapiga mpunga nyie katangazeni visit Tz 🤣🤣, huu ni ulimwengu wa kibepari hakuna free plate asee!!.
 
Yanga ishapiga mpunga nyie katangazeni visit Tz 🤣🤣, huu ni ulimwengu wa kibepari hakuna free plate asee!!.
Na wale mamodel mliwatoa wapi, yaani nyie mnachekeshaga sana. Nashukuru leo Simba hawajafanya upuuzi ule. Mna mengi ya kujifunza ndugu zangu.

Halafu nyie si ni wajamaa, ubepari tena? Wasije wakakusikia wenzio.
 
Reactions: Exy
Na wale mamodel mliwatoa wapi, yaani nyie mnachekeshaga sana. Nashukuru leo Simba hawajafanya upuuzi ule. Mna mengi ya kujifunza ndugu zangu.
Tujifunze kutangaza bidhaa za Mo kwa mwaka 150M?
 
kumbe simba walishaachana na african carriers?....
basi ule mgogoro wa bus inawezekana kweli ulikuwepo, maana siioni logo ya african carriers hapo
African carriers ndio nini?
 
Ishu sio Simba, m bet ndio kawabana maana kalipa kifua
 
Wanathiiiimbaaaaaaa

Tumepigwa wanangu, Jezi hazina ubunifu na mvuto wowote zaidi ya Kutoa neno M bet na kuweka Visit Tanzania

Nawaambiaga wanasimba wenzangu kila siku Wenzetu Yanga wametupiga Gap hasa kwenye ubunifu wa jezi
 
Kwenye barua gani?

Ile press release yao?

Mbona mle ndio wameharibu kabisa kwa kutilia mkazo kuwa maamuzi yao ya kuikataa Visit Tanzania haikuwa bahati mbaya bali walimaanisha
Nazikubali sana hoja zako ila likijitokeza suala la simba na yanga tu sijui unapatwaga na nini akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…