Tayari hukuHii game ikiisha tutatumia kale kamsemo ketu 'kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala'
Very soft indeedTumefungwa soft goal
HahahaaHii game ikiisha tutatumia kale kamsemo ketu 'kufungwa tumefungwa lakini chenga twawala'
Ndo kufungwa huko nakoTumefungwa soft goal
Hamna kitu kabisa.!Tuache kujipa matumaini ya kijinga, mpira wetu bado sana
Hii stars majanga tu.Hahahaa
Ebu mjipe moyo jamani washabiki
Vijana wanajiamini, wako vizuri, huchoki kuwatazama
hiyo ni chanel ya zanzibar broadcasting corparation kama tbcHivi king'amuzi cha ZBC kinaitwaje? Naona hawa Startime niliingia mkenge.
Mwenye info za king'amuzi cha zbc na bei yake, wapi kinapatikana. Nipo mwanza
Ni kweli mkuu, yaan itatuchukua mda sana kuleta ushindani kwenye medani ya kimataifa, mpaka sasa vijana wetu hawaelewi wanafanya nini pale uwanjan, ni samatta tu anachukizwa na jinsi wanavyocheza na kukosa utulivu kweny final 3rd ya adui!!Tuache kujipa matumaini ya kijinga, mpira wetu bado sana
niliona kionjo ikakataAngalia hapa mkuu Watch Tanzania vs Egypt Live Stream Online
Kabisaaaa naunga mkonyo hojaWakitukosa hawa Faraos nitakuwa mapumziko humu jukwaani kwa kipindi cha Siku mbili
Kuna timu za kujipa moyo lakini siyo hii ya kichwa cha mwendawazimu.....Hahahaa
Ebu mjipe moyo jamani washabiki