Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Live updates :Taifa Stars vs Misri leo tar 04:06:2016

Poor marking, stars ndo nini wanashindwa kujipanga mtu anapiga goli liko wazi tu
 
Yaan wametuonesha wao ndo wao, si tunacheza kama zubaisha bwege akat wenyewe wana cheza na malengo tuu
 
Huyu kipa nae, yani anaenda kumpanga beki nyuma ya ukuta wake anaacha kumpanga kule ambapo hakuna ukuta, sarah kapiga huku anajua kabisa hili goal
 
Hivi king'amuzi cha ZBC kinaitwaje? Naona hawa Startime niliingia mkenge.

Mwenye info za king'amuzi cha zbc na bei yake, wapi kinapatikana. Nipo mwanza
hiyo ni chanel ya zanzibar broadcasting corparation kama tbc
 
Tuache kujipa matumaini ya kijinga, mpira wetu bado sana
Ni kweli mkuu, yaan itatuchukua mda sana kuleta ushindani kwenye medani ya kimataifa, mpaka sasa vijana wetu hawaelewi wanafanya nini pale uwanjan, ni samatta tu anachukizwa na jinsi wanavyocheza na kukosa utulivu kweny final 3rd ya adui!!
Kama itawezeakana Maguri atoke kipnd hiki cha pili, so far hajasomeka!!
 
Back
Top Bottom